Recent content by msweety

  1. msweety

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    Hakuna kupoa.
  2. msweety

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kutolewa Sero atahitajika kufanya Reforms ili kujenga Chama chake

    Maliza kwanza shule
  3. msweety

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamsihi Lissu akubali matokeo yoyote

    Uchaguzi ukiwa huru na haki Lissu anashinda mapema sana.
  4. msweety

    JamiiForums Tanzania Lissu ashauriwe kama ana ndoto za kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ni Karata yake muhimu sana asimuache

    Wacha inyeshe tuone panapovuja .
  5. msweety

    JamiiForums Tanzania Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

    Kuelekea Uchaguzi
  6. msweety

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Mnafaidika nini kubadilisha ukweli kuwa uongo?
  7. msweety

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizigua wanafaa kuolewa?

    Kwa swali hili umeshapoteza sifa ya kupata mke kutoka kabila lolote Tanzania. Jaribu Sudan kusini unaweza kubahatisha.
  8. msweety

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateuwa wakuu wa kada mbalimbali

    [emoji23][emoji23] Anaye. Aliwahi mtambulisha kampeni za uchafuzi wa 2020.
  9. msweety

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Wanashindwa kuajiri wanaostahili wanalipa machawa.
  10. msweety

    JamiiForums Tanzania Serikali isidanganye umma pesa kuchotwa na kupelekwa china hadi sasa mabilion ya ESCROW yako wapi

    Hakuna wa kumfunga paka kengele mana wote ndo walewale na wanajuana.
  11. msweety

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeshavimeza tena vyama vyote vya Upinzani, Siasa za nchi hii ngumu sana!

    Chadema hata isifanye mikutano miaka 10. Uchaguzi ukiwa huru na haki CCM inaikabidhi Chadema nchi asubuhi tu, hata uchaguzi ufanyike kesho asubuhi.. ni chama kilicho kwenye mioyo ya watu. Sio huko ambako wengi wapo Kwa ajili ya matumbo.
  12. msweety

    JamiiForums Tanzania KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Ninachofurahi mchungaji Kimaro yeye ameaga tu kondoo wake. Mengine yote ni ya sisi tunaoongea pasipokujua sababu ya likizo ya lazima. Ameshaanza likizo yake ya siku 60. Hebu tumwache apumzike.
Back
Top Bottom