Recent content by Msweet

  1. Msweet

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Hibiscus Tea au Onion Tea, au beetroot juice/tea, au Green tea ya kitunguu saumu, tangawizi, green apple, mboga yoyote fungu moja, turmeric/manjano kiasi..... Any of these..... Rekebisha mlo wako, acha kupikia mafuta ya mbegu.
  2. Msweet

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Unamaanisha Hijama Therapy???
  3. Msweet

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Naomba chimbo LA saa za jumla tafadhali. Asanteni Sana.
  4. Msweet

    JamiiForums Tanzania Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

    Inasikitisha sana sana....
  5. Msweet

    JamiiForums Tanzania Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Umeme haukatiki hovyo kwa muda sasa. Uko mitaa ipi hiyo ya umeme kukata hovyo hovyo?
  6. Msweet

    JamiiForums Tanzania Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

    Koh¡ Koh¡ Koh¡ Koh¡
  7. Msweet

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

    Write your reply... Hakika Jambo ni zito; Jambo ni gumu; Jambo ni bichi bado.
  8. Msweet

    JamiiForums Tanzania hivi wajua NYANYA na VIAZI ni SUMU?(chips)

    Asante sana kwa taarifa. Tuendelee kujifunza kila siku.
  9. Msweet

    JamiiForums Tanzania Hii video ya wanafunzi wa Primary wakiwa wanasubiri mwendokasi hadi Saa 2 Usiku inafikirisha

    Write your reply... Inasikitisha sana
  10. Msweet

    JamiiForums Tanzania Nimepona Ugonjwa wa Presha ya Juu kwa kubadili tu mfumo wa maisha

    Siku niliweza kuacha supu na chapati 2 kila asubuhi..... Nilifurahi sana na ndio ilikuwa mwanzo wa kuanza kupunguza uzito
  11. Msweet

    JamiiForums Tanzania Janga la kuwa High Blood Pressure nalo limenifata leo baada ya balaa la hatihati kuambukizwa Ukimwi

    Write your reply...hopefully ulifanikiwa katika haya yote mawili
  12. Msweet

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la low blood pressure

    Nami nakiomba. Natanguliza shukurani za dhati toka uvunguni kwa moyo. Asante sana Mkuu. Ubarikiwe.
  13. Msweet

    JamiiForums Tanzania Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Write your reply... Amen AMEN AMEN
  14. Msweet

    JamiiForums Tanzania Historia ya mtende, umaarufu wa matawi 🌴🌴

    Write your reply... Picha?
  15. Msweet

    JamiiForums Tanzania Mliopona maumivu ya mgongo, kiuno, na viungo mlitumia dawa gani?

    Punguza kabisa wanga na sukari. Tumia green juice GLASI 1- 2 asubuhi na jioni. Tumia mwani na staranise asubuhi na jioni angalau miezi 3 mfululizo.
Back
Top Bottom