Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Hatukulizungumzia kwa kina kwa maana hatukujua ni shauri la defamation au malpractice
Upana wa kuzungumziwa kwa shauri lililo mahakamani limetajwa kuwa ni ‘upana’ upi? Na umetumia kipimo gani kujua kwamba sasa tunataka kuvuka kipimo kinachoruhusiwa?
 
Upana wa kuzungumziwa kwa shauri lililo mahakamani limetajwa kuwa ni ‘upana’ upi? Na umetumia kipimo gani kujua kwamba sasa tunataka kuvuka kipimo kinachoruhusiwa?
Kama tulianze kulojadili basi ni vema kuacha mara moja ili kuipa mahakama uhuru wa kutoa haki bila ya kushurutishwa na maoni ya watu wa nje
 
Mzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.
Pole sana mw. Mungu ampe huruma zake
 
Or it could be a true cut biopsy, but In lay man language every inversive investment ni operesheni.

Swali ni je, aliandikiwa hiyo thyroxine? Au mgonjwa mwenyewe Ali ignore ? Au haikuwepo? Coz from the scenario alipoenda India alipewa tu thyroxine .
Confusion on top of confusion.....nadhani shida ni wagonjwa wengi hawaelewi hali halisi kama mhudumu anavyoelewa....mbeleni inaleta shida pale anapocommunicate false..and untallying info kwa watu wengine..
 
Back
Top Bottom