Recent content by mswe58

  1. M

    JamiiForums Tanzania JAJI WARIOBA: Sielewi sababu ya kufutwa uchaguzi wa Zanzibar.

    Kwasababu hatuwezi kuikabidhi nchi kwa makaratasi ya kura,nchi tuliichukua kimapinduzi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mikutano ya Dr. Magufuli, Dar es Salaam (Kigamboni, Mbagala, Temeke, Ubungo, Kinondoni)

    Njooo kijiweni uone Uda zinavyosomba mabwege kwa mdako Wa T shirt na buku tano
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Je babaako alishawahi kukuelezea ulivyopatikana?kama mpaka umri huo ulionao hajakueleza unategemea nn kutoka kwa Lowasa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Lembeli naye ni nduguze wamejitokeza kuhusiana na uvumi kuwa yu mahututi kutokana na ajali aliyopata?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wolper aiaibisha UKAWA kwa mafuriko feki

    Reuters, una utindio Wa ubongo uliotukuka,hapa ni Arusha na inawezekana hupajui Arusha,hiyo picha imekuwa edited na IT Masaki,pole sana kwa kulishwa uharo fake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

    Victorie acha utoto ,watu wanapoka haki ya wapiga kura kwa kutengeneza vitambulisho fake vya kupigia kura kufanikisha goli la bafuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hali sasa ni tete kwa Lowassa, atengeneza mafuriko bandia baada ya Mh. Magufuli kuilipua Arusha

    Mtoa thread anagongwa c Burr,maana ana muhemko Wa makalio,yupo DSM habari ya kutengeneza mafuriko umeyaona wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kura yetu ni kwa Dkt John Pombe Magufuli

    Kura yako na nani ----- wewe,watu tunapata taabu za maisha kupitia ccm,wewe unashabikia inawezekana kula yako ni kwa shikamooo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa aumbuka Pemba

    Unaongea kama chizi Zanzibar ina bodaboda kibao,inaonekana hujawahi fika zenj,
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Lowasa, Jionee Mwenyewe!

    Haya tumemuona unasemaje sasa ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lembeli tumbo joto Kahama

    Wewe kwako umefanya nn, mpaka sasa kwa familia yako?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    Nimeipata hyo vikao vinaendelea ucku huu kwa ajili ya kuwapokea vigogo wapya kutoka ccm
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makamba: Lowassa ni mroho wa madaraka

    Wote Makamba na wanaye in waroho Wa madaraka haiwezekani family nzima ipo kwenye uongozi ndani ya chama
  14. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM kuhusu matukio ya Tanga

    Sera gani mnazinadi zaidi ya matusi mliyobarikiwa kuyamwaga kwa jamii,nakuonyesha ndiyo Sera zenu za ccm
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusikubali wapigaji wachukue gesi yetu na mafuta kwa mgongo wa Lowassa

    Kwahyo tukubali zipigwe Maliasili na gesi kupitia ccm?
Back
Top Bottom