Lowassa aumbuka Pemba

Lowassa aumbuka Pemba

marco polo acha undorobo. lowassa anapokwenda kuomba kura anaongelea nchi nzima ya tanzania. bodaboda kama hakuna pemba ziko unguja na zinaitwa vipando. hivyo hajaumbuka ila wewe ndiye uliyeumbuka baada ya kuona umati wa watu kinyume na ulivyotarajia

Ww ndo ndorobo.. Mbona aliomba radhi sasa? Muambien Aache kukariri.
 
Zanzibar ni nchi moja na tz kaongea kitaifa zaidi haina shida hapo mbona kura za ndio kwa Muheshimiwa Lowasa
 
Unaongea kama chizi Zanzibar ina bodaboda kibao,inaonekana hujawahi fika zenj,
 
Unaongea kama chizi Zanzibar ina bodaboda kibao,inaonekana hujawahi fika zenj,

Unaongea ulichoadithiwa mm naongea ninachokiona.. Naishi Mbwen Kota za zssf kituo kwa Jastuma.
 
Sasa mm ndio nilikuwepo mkutanoni hapo nime edit tu.. Alikuwa akizungumzia boda boda upande wa Pemba... Mzee anatia huruma kwa kweli.

Wee tatizo lako HUJAENDA JANDO...

UNA GOVINDA... sasa ni shida sana

Mtapiga push up hadi mkome...vueni na
nguo tuone hayo masox, uchafu mtupu from brain to ur bodies...!!!

CCM out...!!!
 
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.... Ikambidi aombe radhi na kuendelea na mambo mengine.... Kukariri Kubaya jaman.

Kweli jmn lowasa huyu nmjuae amefikia hatua ya kupitiliza jukwaa kana kwamba hajui cha kufanya?

Dah
 
Nahisi hujawahi hata kufika Zanzibar ww.... Kwa taarifa yako hakuna vesper zinazofanya biashara Zenj.... Tatzo Lowasa amezidi kukariri, hadi sera mmmh! Majanga kwa kweli
Sio kufika tu..hata kuishi nimeishi Kule na nimezitumiamm
 
Nahisi hujawahi hata kufika Zanzibar ww.... Kwa taarifa yako hakuna vesper zinazofanya biashara Zenj.... Tatzo Lowasa amezidi kukariri, hadi sera mmmh! Majanga kwa kweli
Sio kufika tu..hata kuishi nimeishi Kule na nimezitumia
 
Una akili fupi sana, zanzibar ni sehemu ya muungano. He have to speak national matters sio ishu za jikoni kama akina magufuli kusonga ugali!
kanjanja tu...eti 'he have..badala ya he has..mnajidai kuhoji kiingereza cha magufuli mtu msomi wa Phd. wakati mko kaput kinoma. watu wajinga hadi mnahoji kiingereza cha mhitimu Phd udsm...mizungu mazingaombwe yenu mwisho barabarani. hapa kazi tu oct 25 tunachagua tingatinga magufuli.
 
Kweli jmn lowasa huyu nmjuae amefikia hatua ya kupitiliza jukwaa kana kwamba hajui cha kufanya?

Dah

Dr Magufuri kamshika vibaya mkuu sio kosa lake... Tumuombee tu amalize salama uchaguzi akapumzike na wajukuu zake Monduli.
 
maccm yamejaa humu jamii forum kweli kweli yaani lowasa anawanyima usingizi mtakiona tarehe 25
 
Mzee anasinzia, na kuna jamaa yangu kanambia leo alichelewa kidogo kuchomwa ikaleta shida.

Kwa kweli kuna maisha baada ya uchaguzi lakini wanomtesa huyu Bwana kwa kutaka kura Mungu atawahukumu, Hasahasa daktari wake. Alipashwa kuwa kwenye matibabu na mapumziko ya kutosha sana sio nginjanginja hii.
 
Dr Magufuri kamshika vibaya mkuu sio kosa lake... Tumuombee tu amalize salama uchaguzi akapumzike na wajukuu zake Monduli.

Hah hah haaa. Kweli dawa imeshawaingia na kukolea, ... yaani magamba yoote yameshikwa sehem sehem pabaya. Hata watoto wadogo (yes, there are also big or adult children like Magu-Fool) walijua hiloo ati!!!!!
 
Huyu mzee kadri mda unavyosonga mbele naona hali yake inazid kuwa mbaya... Ni pale akiwa kisiwani Pemba alipotamka *BODA BODA WOTE NITAWAWATETEA * ikabidi wananchi wamshtue kwa kumwambia mzee Pemba hamna boda boda.... Ikambidi aombe radhi na kuendelea na mambo mengine.... Kukariri Kubaya jaman.

Lowassa anapofanya kampeni hata kijiji cha Nyanjilinji lazima ujue anaongea na Taifa zima...
 
Back
Top Bottom