Recent content by Mswahilina

  1. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Natamani kula Nyama

    Kamuone Daktari, upime pia na MINYOO.
  2. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

    Hivi ilivyoandikwa Mithali 5:18 (Chemchem yako ibarikiwe nawe umfurahie mke wa ujana wako) hili nalo ni pepo la ngono? Kweli Mhe. Dr. Mama Getrude Rwekatare anatakiwa afundishe waumini wake kwa kina zaidi.
  3. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

    Mpendwa, hivi wewe unajua unachoamini? Au unaamini unachojua? Kama swali alilouliza huyu ndugu ni pepo la ngono, basi kufanya tendo la ndoa na mkeo/mumeo wa ndoa ni pepo la ngono pia.
  4. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    Ndugu RITZ, wewe ndiye Mkabila na Mdini. Utavuna unachopanda.
  5. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Cheka unenepe:

    Ingependeza uka-mlivu-babu-wa-loliondo-out of this. Au unaona wivu angekuwa "Babu wa Tanga"?
  6. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Mjue Joseph Kabila Kabange rais wa Jamhuri ya watu wa Congo

    Ndugu Emmanuel yule Mzee alikuwa akiitwa Laurent na sio Raurent Tukipende kiswahili na tukiandike fasaha.
  7. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Funza dume, you have made may day.
  8. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Chenge na Rostam - Nini hatma yao?

    Wewe unachekesha kweli, eti wafilisiwe kwa stail ya Prof. Kighoma Ali Malima, hii haitawezekana, hata Malima mwenyewe tuliyemfilisi leo Mtoto wake wa kutoka kwenye damu yake mwenyewe ndiye naibu waziri anayeshughulikia madini. Je tutafika?
  9. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda staili hii ya kivazi

    Haka kadada usoni kabaya aaaaaaaaaaaaa ! utafikiri sio mzuri.
  10. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda staili hii ya kivazi

    Angalia kalivyo halafu kashone.
  11. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Tambwe Hiza Kukaangwa Kwa Mafuta Yake Mwenyewe

    Ni mkuu wa wilaya ya "Mwanza Mjini"
  12. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Bila kumsahau fundi mitambo Domitila Urassa (RIP)
  13. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Henrich Michael Libuda (RIP)
  14. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Ze komedi -vs- Futuhi

    Ze comedy (orijino komedi) wamefulia Futuhi Juu, Juu, Juu zaidi.
  15. Mswahilina

    JamiiForums Tanzania Lt Col Alexander Nyirenda (RIP)

    R.I.P. Nyirenda
Back
Top Bottom