Recent content by mswahili93

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda sana wanaume wenye magari?

    M nahic kwasababu hawapend wanaume wasio na magari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

    Hata mm ishawah nitokea mkuu....dogo alienda ku state loan board then boom lililofuata sikupata hata dala
  3. M

    JamiiForums Tanzania Account yangu imeingizwa boom mara mbili batch 2&3

    Hii ishu ilishawah nitokea mm mwaka jana ..........hapo kuna mwanafunz mwenzako pesa zake zimekuja kwako so its better ukatoa taarifa mapema kwa wahasibu wa chuo chako....mana huyo mwanafunz akienda ku state loan board mkopo wako utakuwa suspended
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

    Nashukuru sana mkuu kwa ushaur...mana daah cna ufahamu nazo sana hz ishu......bac wacha niforece nipate hata hapo main compus
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa Hostel za Magufuli UDSM, natafuta wa kubadilishana naye niende Mabibo Hostel au Main Campus

    Wadau, Nimepangiwa hostel za Magufuli pale opposite na Mawasiliano. Natafuta mwanafunzi wa UDSM anayetaka tufanye exchange nihamie main campus au mabibo hostel.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aende wapi SAUT au UDSM

    M naina eande tudarco
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo ndio utakao-determine hatima ya ndoto zangu mwaka huu

    Poapoa mkuu usiwaze....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo ndio utakao-determine hatima ya ndoto zangu mwaka huu

    Kama umemaliza galaxy pcm2015..hawa machalii nahc utakuwa unawajua ..malale na mansur
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bachelar of Fine Arts and Design.

    Hahhaha kwl mze....tatzo humu kila mtu anajifanya mjuaji
  10. M

    JamiiForums Tanzania First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Co workshop tu...hata wanafunz wa B.E na E.E( environment eng) wanaosoma ardhi ..kuna baadhi ya koz na presentation wanafanyiaga UD.!!! Sasa huyu boya cjui kwann anakiponda ud..
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

    Sasa umeconfirm vyuo viwili ili iweje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Hapana bado....ila kwa waliochaguliwa washajulishwa kupitia accounts zao
  13. M

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Duuhh afu dit hawanaga mambo ya kubadl kozi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa quantity surveying na computer engineering

    Msaada kwa mwenye ufahamu kidogo na hizi kozi QUANTITY SURVEYIN na COMPUTER ENGINEERING................ nahitaj kuchagua moja kat ya hzo(confirmation).... So ipi may be nkichagua ctakuja kujitia baadae huko[emoji120]
  15. M

    JamiiForums Tanzania First years na ulimbukeni wa kusoma udsm

    Vp mkuu ushapata mwanafunz wa kukubeba[emoji23]
Back
Top Bottom