Bachelar of Fine Arts and Design.

Bachelar of Fine Arts and Design.

Iyo kozi IPO ila sjuagi Kama watu wanaisomaga ..

Uyo dogo Ni kwamba kaangalia Minimum qualification zimempeleka uko? Au Ni Ana Dream ya Hiyo saanaa.

Nashindwa hata kushauri aisee..kwa dunia ya Sasa hiyo kitu haiko Tena ..Ni kama Kuuza BIBLE kwa Sheikh wa Msikiti wa MASJID
What is fine art and designing
Unajua watu mmekarili vibaya neno arts,
Fighting art
Building art
Art of war
Etc
Fine art ni sanaa ya UFUNDI,
Siyo kila kinachoitwa art ni cha kiwango mnachokarili,
Halafu unasoma ili iweje,
Hivi wote tumeumbwa kufanikiwa kwa njia moja?
Wote walosoma mnachosifia wanamaisha bora?
Wote walio ajiriwa wana maisha bora?
Mnafikiri kishabiki sana,
Mnafikiri kwa kujifariji mkijidhania mpo ktk njia sahihi ya kufanikiwa sababu mpo huko mnakodhani ni sahihi,huo ni uoga,
Ni km kelele za mlevi siyo ujasiri Bali uoga,
Nimemuuliza mleta mada,nimewauliza na ninyi mnaokashifu,what is FINE ART,
Nijibuni hili tuendelee,
Tatizo mmekarilishwa vibaya neno Art,
 
Huo ni ufundi kamili,tena ambao ni rahisi sana yy kujiajiri km kweli ni kipaji chake na atafauru vizuri
 
Tatizo humu ni km kokoro hata mavi linabeba,watu hawajui lolote wanaishia kuropokwa tu,
Mnajua fine art nyie?mnajua designing nyie?
Mnaropokwa tu,ulizeni kwanza ni nn hii,lkn kuna mropokwa mmoja anafananisha fine art na art alosoma lowassa,si lazima kuongea jambo hamjui,
Bro km huyo binti anaweza fine art na ni kipaji chake mpe nafasi asomee,ipo siku utakumbuka maneno yangu,
Unataka asomee unachotaka wewe unahakika ataweza?na angekuwa anaweza unachotaka si angefaulu huko,hebu uwe na akili japo kidogo mkuu,
Mungu kaumba kila mtu na njia yake kufikia mafanikio,ilimradi tu awe kakaa kwenye mstari wake,
Fine art and designing ni UFUNDI KAMILI kwa ma mbumbumbu mjue hili,hii si sanaa kwa maana ya maigizo au kuimba au sanaa zingine,
Nilipo hapa naishi kwa kazi hiyo,
Sijaisomea kwa kiwango kikubwa hivyo lkn Nina kipaji kikubwa sana,hope ningesoma kwa level hyo ningekuwa mbali sana,nimeajiriwa mgodini kwa kazi hyo,ninaendesha familia ya watoto wanne,wawili wapo form five,halafu anatokea mbumbumbu anafananisha ufundi na maigizo,hata km ni maigizo km ndo karama yake atatoka tu,kuna watu wanasomea mambo ya salon na wanamaisha mazuri kuliko walolazimisha masomo yenye jina kubwa ambayo hata hawayawezi,
Fine art ni watu sharp sana vichwani,ulaya na Asia ni watu wanaheshima kubwa sana,
Wajinga wanaidhania ni nyepesi,nikushauri bro km Dada siyo kipaji chake asiende huko maana atashindwa na ataishia kujua kutengeneza batiki tu,lkn km ni kipaji chake msaidie,
Hahhaha kwl mze....tatzo humu kila mtu anajifanya mjuaji
 
Fine art ni pana kweli zaidi ya ngojera mnazofikiria,fine art and designing ina mambo kibao ya ufundi ubunifu nk,nasisitiza km huyo mtoto anakipaji tena cha ufundi huko patamfaa,humu wengi wanaoongea hawajui lolote kuhusu fine art and designing,wanachukua neno art wanaacha designing na fine,tumekarilishwa vibaya mno,
Wote mloongea utumbo humu hakuna hata mmoja anajua fine art and designing kwa upana wake,mnapiga kelele tu,hamjui zaidi mmekarili,siyo lazima kuchangia lolote ktk jambo usilolijua,ukikaa kimya datta haitaisha,
Ukikaa kimya siyo ujinga,
Kuongea usichojua na kubisha kipotoshaji ni ujinga wanaofanya watoto wanaomaliza sekondari na kuanza maisha,maana wao hudhani maisha na mitazamo ya sekondari ndo picha halisi ya maisha,
Kuna watu wamesomea engineering na tupo nao kwenye vijiwe vya ufundi mtaani,
Acheni utoto,
Acheni kujizoom
Tupo wakongwe japo mnatubishia,
Nimewauliza mnajua FINE art ana DESIGNING mbona mpo kimya,
Mkishindwa ingieni google mkatafute maana,halafu tafuteni pia mjue hasa fine art wanasoma nini kwa ujumla wake,halafu ni nini hyo designing
Wanasoma nini hasa,
La kumsaidia huyo ndugu anapaswa kujua huyo mdogo kavutiwa na kitu gani huko ili tujue njia ipi ya kumuongoza,
Nakusihi mlete humu tumshauri na kumuuliza kafuata kipi hasa huko maana FINE ART and Designing ni pana na panafaa sana watu GIFTED and TALENTED,siyo urahisi km watu wanavyofikiri,
 
What is fine art and designing
Unajua watu mmekarili vibaya neno arts,
Fighting art
Building art
Art of war
Etc
Fine art ni sanaa ya UFUNDI,
Siyo kila kinachoitwa art ni cha kiwango mnachokarili,
Halafu unasoma ili iweje,
Hivi wote tumeumbwa kufanikiwa kwa njia moja?
Wote walosoma mnachosifia wanamaisha bora?
Wote walio ajiriwa wana maisha bora?
Mnafikiri kishabiki sana,
Mnafikiri kwa kujifariji mkijidhania mpo ktk njia sahihi ya kufanikiwa sababu mpo huko mnakodhani ni sahihi,huo ni uoga,
Ni km kelele za mlevi siyo ujasiri Bali uoga,
Nimemuuliza mleta mada,nimewauliza na ninyi mnaokashifu,what is FINE ART,
Nijibuni hili tuendelee,
Tatizo mmekarilishwa vibaya neno Art,
Nimesoma Vyema Post na Nimeielewa Vizuri.

Maelezo ya Hapa Na Ya Awali Ni Vitu Viwili Tofauti ..

Mtoa Post kasema Hivi Hii course Ipoje na AJIRA zake ?

Alafu Siiwazii sana Kwa Ufinyu Kama ulivyoniQuote naijua sanaa kwa Mapana yake na Ukiivavadua Sanaa Vyema unaweza kuta Umeingia kwa Sayansi .

Narudia Uwepo wa course hiyo Sio tatzo na Kusoma IYo Course sio tatzo ? Tatzo Ni Kwamba Mtoa Post kazungumzia Outcome pia ya Course (AJIRA). Hapo ndo Mimi Nikaangua kicheko kwa ku Reason

_ Ni Kweli Hii Course uyo Dogo anaijua?
_ Je Ni kwasababu Anataka Kwenda Chuo kikuu Tu hata uwe course ya kufunga Kuku Ikiongezewa Neno Engineering mbele watu mnaaply ?

_ je Ni ndoto yake?

_ je Ni Minimum qualifications Za iyo course ndo zinamfanya Habaki ( Without option) na Kuona Hii Course inamfaaa?

_ I conclude by Saying " Mimi Kwakweli Hi Course Siijui kivile Ukisoma Uzi wangu Wa Awali"

Sasa mkuu Hapo Unataka Nikupe Definition ya Hiyo Course ..what For?
 
Sina tatizo na unachoongea pia sina tatizo na mtoa mada,lkn ninatatizo na comments,hebu pitia comments uone km zinawiana na post zaidi sana ni za dharau na majivuno,
Zimejaa ujuaji wa kimbumbumbu,mtu anafananisha eti na alichosoma EL,
Mtu anafananisha na sanaa za nyimbo na maigizo kiasi mtu ananiuliza unajua maana ya Sana'a?
Halafu mtu wa uelewa huu nae bado anajiita great tinker,hii ni aibu,
Ndo maana nikasema tujenge mazoea ya kufikiri Na kumjibu mtu kile tunachojua tena kwa kumshauri siyo kumponda,dunia yetu wajinga ndo wanajidai majasiri na washauri,
Wakati wajuzi wamejaa hofu,
Km kitu mtu haujui sema acha wajuzi waje full stop kuliko kuponda
Ndo maana nabakia pale pale kwenye swali langu pamoja na Maelezo yako ambayo sasa angalau umeongea kwa busara kuliko mwanzo,
Je unaijua FINE ART and Designing kwa upana wake?au unazoom kuijua sababu tu unajua maana ya neno art kwa kiswahili?
 
Sina tatizo na unachoongea pia sina tatizo na mtoa mada,lkn ninatatizo na comments,hebu pitia comments uone km zinawiana na post zaidi sana ni za dharau na majivuno,
Zimejaa ujuaji wa kimbumbumbu,mtu anafananisha eti na alichosoma EL,
Mtu anafananisha na sanaa za nyimbo na maigizo kiasi mtu ananiuliza unajua maana ya Sana'a?
Halafu mtu wa uelewa huu nae bado anajiita great tinker,hii ni aibu,
Ndo maana nikasema tujenge mazoea ya kufikiri Na kumjibu mtu kile tunachojua tena kwa kumshauri siyo kumponda,dunia yetu wajinga ndo wanajidai majasiri na washauri,
Wakati wajuzi wamejaa hofu,
Km kitu mtu haujui sema acha wajuzi waje full stop kuliko kuponda
Nimekuelewa Sasa mkuu
 
Hivi hizi kozi huwa nan anawachagulia? Si bora aende veta kwa hal hyo
 
Tuje kwenye hoja ya kwanza ya mdau,
Je atapata mkopo?
Nnavojua mm mkopo ni kwa mwanafunzi yyte anaetoka familia ya chini aliyekidhi vigezo,
Vigezo ni vipi
Ni rahisi zaidi kupata mkopo km alitokea shule za kawaida,km alisoma shule za kulipia wanamchukulia anatoka kwenye familia inayojimudu,
Lkn ni kweli wa sayansi wanaangaliwa zaidi japo haina maana wa art hawawezi pata mkopo,ilimradi athibitike anatoka familia ipi na ufaulu wake upije,
Hivi ndo nnavyojua Mimi,km kuna la zaidi wajuzi wataongezea zaidi
 
Daaaaaah, nimecheka sana.....dogo anataka kusoma Sanaa seriously, mwambie aache ujinga. Mimi nasoma procurement and logistics nina mkopo na nafanya Sanaa na sijaisomea.
Eti huu nao ni ushauri wa msomi,
 
Mdogo wangu amesoma hiyo kozi hapo UDSM tuligombana sana kua atafute kozi nyingine leo tunaongea lugha tofauti kabisa wakati mimi nahanya kuzunguka mikoani dogo passport zinajaa tu anaongeza vitabu na sarafu simkaribii kabisa ila ukiambiwa anachofanya huwezi amini sijui kuandaa stage ya maigizo and blah blah ila ndio anazurura Ulaya na Amerika,umu ndani tuna wahasibu kibao hawana ajira kama vipi muache asome akitakacho mafanikio hayapewi tafsiri na ulichokisoma moja kwa moja.
 
Nimzaliwa 74
Nijibuni swali langu mnajua maana ya FINE ART and Designing,mnajua inahusisha nini,
Kama umezaliwa 74 unatakiwa utulie nyumbani ulee wajukuu , sio kuja kubisha na watoto wako hapa jamvini
 
Kama umezaliwa 74 unatakiwa utulie nyumbani ulee wajukuu , sio kuja kubisha na watoto wako hapa jamvini
Yaa ni kweli kuna mjukuu mmoja nilizaa na alokuleta duniani,ila alitoroshwa yamkini ni wewe
 
Mdogo wangu amesoma hiyo kozi hapo UDSM tuligombana sana kua atafute kozi nyingine leo tunaongea lugha tofauti kabisa wakati mimi nahanya kuzunguka mikoani dogo passport zinajaa tu anaongeza vitabu na sarafu simkaribii kabisa ila ukiambiwa anachofanya huwezi amini sijui kuandaa stage ya maigizo and blah blah ila ndio anazurura Ulaya na Amerika,umu ndani tuna wahasibu kibao hawana ajira kama vipi muache asome akitakacho mafanikio hayapewi tafsiri na ulichokisoma moja kwa moja.
Very true,tatizo hivi vitoto vinavyoishi kwa kukarili na vinavyodhani nadharia ya mambo wanayoambiana shuleni ndo uhalisia ulivyo huku uraiani
 
Kwa akili hii ya kukatishana tamaa,kukarili maisha,kudhani maisha yana mtiriliko mmoja wa mafanikio,hakika tutaendelea kuwa nchi ya wajinga milele
 
Kama anaweza akasome bachelor of fine art with education,unaweza ukaajiliwa kama mwalimu Wa fine art au ukajiajili.watu hawaifahamu tu,ila fine art ina vitu ving sana.mwache akasome tu.
 
Very true,tatizo hivi vitoto vinavyoishi kwa kukarili na vinavyodhani nadharia ya mambo wanayoambiana shuleni ndo uhalisia ulivyo huku uraiani

Wengi umu wako sekondari au wanategemea kuanza chuo akili zao zinajua atasoma kozi za uhasibu au sheria maisha yananyooka ngoja waje kwenye uhalisia uku kwa sasa kubishana nao ni kupoteza muda
 
Kama anaweza akasome bachelor of fine art with education,unaweza ukaajiliwa kama mwalimu Wa fine art au ukajiajili.watu hawaifahamu tu,ila fine art ina vitu ving sana.mwache akasome tu.
Very true,km anamtazamo wa kuajiriwa vyuo vya veta vingi vinauhaba wa waalimu wa fani hii,anaweza enda huko,lkn pia kuna fani nyingi huko
 
Back
Top Bottom