Aende wapi SAUT au UDSM

Medicci

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
553
915
Ndogo wangu kachaguliwa vyuo hivyo viwili, UDSM BA. EDUCATION NA SAUT BA. MASS COMM.
Wapi pako vizuri
 
Ndogo wangu kachaguliwa vyuo hivyo viwili, UDSM BA. EDUCATION NA SAUT BA. MASS COMM.
Wapi pako vizuri
 
hizo kozi zote graduates wengi wanasota kitaa, mwambie achague ambayo yuko interested nayo
 
Ndogo wangu kachaguliwa vyuo hivyo viwili, UDSM BA. EDUCATION NA SAUT BA. MASS COMM.
Wapi pako vizuri

Swali lako umeli ' frame ' vibaya sana Mkuu. Ulipashwa Kwanza utuambie huyo Mdogo wako Yeye kama Yeye anapenda kusomea nini kisha tungekuwa katika nafasi nzuri tu ya Kukushauri. Anyways kama anapenda kuwa Mwalimu au maeneo yote yanayohusiana na hiyo tasnia basi kwa UDSM ni mahala sahihi kabisa Kwake ila kama anapenda kuwa Mwanahabari au Mwanamawasiliano basi wala asipoteze muda upesi aende zake SAUT Mwanza atapikwa na kupikika vyema tu. Kila la kheri ila siku zingine jifunze jinsi ya ku ' frame ' swali Kisomi tafadhali.
 
Back
Top Bottom