Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

Nimeconfirm vyuo viwil tofauti nasaidikaje

Mwenye zile namba za udom za kuconfirm kwenye tangazo lao plz tuma
 
Huu ni uzembe na ujuaji tu, wewe baada ya kuconfirm chuo cha kwanza huko kwingine ulikua unataka ugundue nini?
 
Wadau kuna ndugu yangu aliapply medicine ya udom na muhimbili lakini bado hajatumiwa hata taarifa ya kucomfirm, hapo sijui ndio itakuwaje?
 
Nimechaguliwa udom na muce na vyote nimeconfirm vyote nasaidiwaje
Wasiliana na vyuo husika watakusaidia kwani unatakiwa kukomfirm kwa jinsi hii chuo ambacho hutaki kwenda: FULL NAME:......................FORM FOUR INDEX NUMBER................I COMFIM THAT I WILL NOT JOIN (JINA LA CHUO) ACADEMIC YEAR 2017/2018. Kwa Chuo unachotaka kujiunga na kusoma ni hivi: FULL NAME:......................FORM FOUR INDEX NUMBER................I COMFIM THAT I WILL JOIN (JINA LA CHUO) ACADEMIC YEAR 2017/2018. Thank You
 
Nimechaguliwa udom na muce na vyote nimeconfirm vyote nasaidiwaje

Habari, suala la kuthibitisha vyuo viwili basi unakuwa automatic disqualified. Lakini bahati iko upande wako bado kwani chuo kikuu cha Dar es salaam wamesasisha mifumo ya uthibitishaji na wameweka kitufe cha [HASHTAG]#unconfirm[/HASHTAG].

ingia katika akaunti yako ya udahili > bonyeza menyu > selection result > unconfirm.

nakutakia mafanikio mema.

Lakini pia ikiwa unataka kutendua uthibitishaji katika chuo kikuu cha Dodoma, andika ujumbe mfupi wenye nambari yako ya mtihani kidato cha nne, kitivo ulichochaguliwa, na maelezo mafupi juu ya utenduaji wa chaguo lako. Nakutakia kila lakheri huko chuoni uendako. Ila mara nyingine unapaswa kuwa makini lijapo suala muhimu katika maisha yako linalohitaji maamuzi yako
 
Nimeconfirm UDOM lakini naona msg haijawa derivered.Nani alive experience hii issue anisaidie.
 
Hivi kwa mwenye multiple kuna uwezekano wa kuwaomba chuo chenyewe(UDOM) wakakukomfirmia..kama ndio vipi??
 
Nimeconfirm UDOM lakini naona msg haijawa derivered.Nani alive experience hii issue anisaidie.
Unatakiwa ucomfirm kimoja tu ambacho umekichagua ukishacomfirm inachukua muda kidogo rudi baada ya lisaa urefresh tena kama ni tayar utaona hadi ile confirmation code ikionekana
 
Back
Top Bottom