Recent content by Msuya-t

  1. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Vitu gani huwezi fanya bila mwanamke/mwanaume

    Xx2
  2. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Vitu gani huwezi fanya bila mwanamke/mwanaume

    86xcZ6
  3. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya moyo....!!!

    Mwanangu pole sana, ila temana naye mungu atakupa mwanamke mwingine atakaye kupenda kwa dhati .
  4. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Meya Ubungo: RC amelazimisha bango la mtaa wa Wanyama kuondolewa, kisa waliomleta ni Clouds Media

    Kwa kgezo kua ni clouds tv ka ni kweli siungi mkono ila pamoja na ivo tangia mwanzo huu mtaa ckuukubali kwan wanyama yy ni nan apa tz? Wangapi wtanzania wmefa makubwa na hawajapewa mtaa?kwa nn uciitwe mtaa wa mbwana samata mtanzania alyejitahd?kwa nn uciitwe mtaa wa hashim thabit mtanzania...
  5. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Kairuki: Walimu wa sanaa hawataajiriwa

    Kweli ni kucheka tuu, ila kiukweli bora hata Mh. Jakaya alikua anaacha watu wanaiba weeeeee......na majizi yakawa mengi. Ila ajira hajaacha kutoa, sasa jamaa sahiv mh Magu watu anawanyoosha kimaslahi na kazi wamefutwa kibao ila ajira NOOOOO....... duuuh.
  6. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uwanja wa Taifa: Yanga FC 2 - 1 Mbeya City

    Matokeo tafadhalii
  7. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Okay, kwangu vinakuja mb 800 kwa 1000. Kwa 24hrs. Thank you
  8. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hebu nipe maelezo kidogo chief mkwawa kwe hicho cha voda chenye 3gb kwa buku 2
  9. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Wewe ndo makonda?
  10. Msuya-t

    JamiiForums Tanzania UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Hata mimi wadau nimeona the same e mail kutoka kwa hawa jamaa ila nimejaza tu ile form yao ya Entry nkawatumia, najiuliza pia interview gani ya kulipa hela nyingi na hujui hata inaenda kwa nani.
Back
Top Bottom