Kairuki: Walimu wa sanaa hawataajiriwa

Kairuki: Walimu wa sanaa hawataajiriwa

Wacha tucheke tu japo wenzetu wanaumia, [emoji2] [emoji2] !
Kweli ni kucheka tuu, ila kiukweli bora hata Mh. Jakaya alikua anaacha watu wanaiba weeeeee......na majizi yakawa mengi. Ila ajira hajaacha kutoa, sasa jamaa sahiv mh Magu watu anawanyoosha kimaslahi na kazi wamefutwa kibao ila ajira NOOOOO....... duuuh.
 
mhh miaka iliyopita wengi walikua wanakimbilia ualimu kwa tiketi ya kupata ajira! sahivi naona namba zinasomeka haswaaa hawana tofauti na wasomi wengine waliokosa ajira.
 
Kama mwaka wa fedha 2016/2017 ajira zilikuwa elfu 90 na hazikuonekana hata kwa tochi, itakuwaje kwa mwaka huu wa fedha hizo elfu 50 si itabidi utambikie mizimu ndo uzione.
Zilikuwa za bodaboda na viwanda vidogovido yaaani charahani n.k
 
wacha waisome namba tupunguze idadi ya magoigoi..
 
THUMB UP! UMEONGEA MKUU, HAO NI nyoka na NYOKO HASWA!
Science inahitaji maandalizi kuanzia msingi.
Waalimu wa sayansi kwa shule za kata wanatoka wapi? Hawatoshi kukidhi mahitaji.
Hawana vifaa fundishi.
Wanasayansi wenu wamechemsha kuongoza dola.
Angalia nguine wanavyoongoza nchi.
Lissu, Mdee, Masha, Safari, zitto, Lowassa, Silinde, Kabudi, Tulia Akson, Chawene,Lukuvi, Mabula Anjelina, Wenje, nknknk.Leo tunawakataa.
 
Nawapenda walimu,Mashem zangu,Mnajua kwanini? Ha ha loh,Ngoja msome namba kwanza alafu ntawaambia
 
Back
Top Bottom