Mkuu mbona umepanic, kwani kutoa maoni yake ya moyoni limekua kosa? sio lazima tukubaliane nae, na halazimishwi kukubaliana nasi, by the way, wanaweza ishi kwa visa na resident permits , na sijawahi ona makaburi yakafukuliwa watu wakitengane hata korea kusini na kasikazini walipotengana...