Recent content by Msukusu

  1. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Masheikh huko wanasemaje kuhusu shida ya maji?

    Wapo huko wanakatana Vichwa kwenye visima
  2. Msukusu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

    Hao ni wawekezaji, ukitaka serikali ikusikie wee waambie tu anayeleta uchochezi mbona chapu wanaibuka, Ila hao wamalawi hawana nao muda.
  3. Msukusu

    JamiiForums Tanzania KERO Responded LATRA: Nauli Mwendokasi (DART) kwanini imepandishwa bila taarifa?

    Tumefanya hivyo ili kudumisha Amani, kwani mabeberu wanatuonea wivu
  4. Msukusu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kweli Serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Serikali Imeshatoa tamko Kuwa haipewi amri wala maelekezo. Labda serikali ya wanafunzi
  5. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawajui kwamba aliesimamia na kupanga mchakato wa ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 ni Prof. Mark Mwandosya!

    Kwenye Hii Dira Je Wananchi Tulishirikshwa? Kwa Ajili Ya Mawazo Na Mapendekezo, Ili Iweze Kupitishwa Au Sisi Wananchi Haituhusu?
  6. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Lengo la mzungu ni Kututawala Hadi mawazo yetu. Na Hilo katimiza. kilichobaki ni ushoga tu.
  7. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: DJ Fetty aondolewa Clouds Media kwa madai ya Kuikosoa Serikali

    Hata pale mawinguni panahitajika reform
  8. Msukusu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefumaniwa na mwanachuo

    Mtafute Lamata Una Uandishi Mzuri.
  9. Msukusu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuamini nikaenda kwake akataka kunibaka

    Kichwa Cha Chini Kikisimama, Cha Juu Hakifanyi Kazi
  10. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Ni nani Baba wa mtoto wa Irene Uwoya kwa sasa?

    Hujui Kuwa Mtoto Wa Kiume Ni Kipenzi Cha Mama. Na Mtoto Wa Kike Ni Kipenzi Cha Baba.
  11. Msukusu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kujua kulikoni asee🤔

    Wanawake Wanapenda Sana Kushikwashikwa.
  12. Msukusu

    JamiiForums Tanzania Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Hivi Kwa Mtumishi Huwezi Kuishi Bila Mikopo??
Back
Top Bottom