I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,228
- 1,959
Ndio shida ya unga.Kusaga huwa ni mpumbavu yule jomba sijawai ona
Upi?Huu ujasiri huwa mnautoa wapi ?
Nyumbu mamaako we mbwigahayajielewi haya majamaa alie yabatiza jina la nyumbu hakukosea
Malaika wa Zanzibar Au kunguru wa Zanzibar.Serikali ya malaika unaanzaje kuikosoa?Hatari sana.
Kama yuko kweli , jamii itamdrindaKwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Ithibati mkuu🤣Vipi Kitenge na Zimbwela wasafi fm
Hana adabuKwa mujibu wa andiko la Martini Maranja Masese, licha ya Dj Fetty Kukidhi vigezo vyote vya Kitaaluma kwa Mujibu wa Bodi ya Ithibati, ameondolewa akzini.
ANDIKO LENYEWE HILI HAPA KAMA NI KWELI NI DALILI MBAYA SANA
Pole sana Bi. Fatma H. Ahmed (@thebestfetty). Tunaelewa kwamba wenye mamlaka wameelekeza uondolewe katika kipindi cha #PowerBreakfast ndiyo maana wasikilizaji hawasikii sauti yako. Tunaelewa, mwajiri wako amepewa maelekezo na amepokea. Kwamba (wewe) ni mkosoaji. Kwa kuwa wewe ni mwanahabari nguli uliyekidhi vigezo vyote vya kitaaluma, usivunjike moyo. Tumia mitandao yako ya kijamii kuendelea kuhabarisha umma. Faida itakuja kesho. Katika ulimwengu wa sasa, mainstream media siyo mlango pekee wa kufanikiwa katika tasnia ya habari na mawasiliano. Social Media ni jukwaa kwa kila mtu. Jikite hapa. Tutakusoma na kukusikiliza. Usijute na kuumizwa na jambo hilo. Bosi wako ameshindwa kukulimda mbele ya meza ya watawala. Bosi wako ameamua kuwa mbinafsi. Naelewa, kwa heshima uliyonayo kwake, na labda hofu ya kuikwaza mamlaka, hutoweza kusema lakini sisi TUTASEMA kwa niaba yako. USIOGOPE. Wenye hatia wanayo hofu. The guilty are afraid.
Wananchi ndiyo huiweka serikali madarakani.Kila mwenye sauti awe makini na mdomo wake
Sisi wote TANZANIA ni wapangaji, Mwenye Nyumba ni Serikali tuwe makini tusimkwaze mwenye nyumba.
Kodi zenyewe tunalipa dusko dusko
Kipanya sina uhakika anashindwaje kujua, kuhusu Ithibati mtu mkubwa kama yule?Wengine wanasema wameondolewa kutokana na kukosa vyeti vya uandishi wa habari kama ilivyo Kwa kipanya,zembwela,kitenge na yeye
Loh, noma sana,Ithibati mkuu🤣
Kinadharia ni hivyo.Wananchi ndiyo huiweka serikali madarakani.
Privatus Karugendo je???Aisee! Wapo serious? Hivi ukimuogopa Fetty mngeweza kum handle Jenerali Ulimwengu kwenye ubora wake?
Wengine wanasema wameondolewa kutokana na kukosa vyeti vya uandishi wa habari kama ilivyo Kwa kipanya,zembwela,kitenge na yeye
hicho kipindi lazima kife kwa kuwa wenye weledi nacho hawapo, itabidi wakimodifai kiendane na watangazaji wapyaNasikia na Kipanya hayupo if yes kipindi kitakuwa kimekufa kifo cha Asili