Chai ya motoChai☕
Simu yako imekuwa hacked hiyo hujui. Yaani hadi kapata voice note ya maongezi ya kawaida dah. Unaishi kizembe sana. Hayo ulitakiwa ufanye wewe. 😂 😂 😂 Pole sana umekutana na mjanja zaidi yako. Hiyo picha wala hata hakutoa Instagram. Bali Ali download kutoka kwenye simu yako. Coz ana access ya taarifa zako zote za kwenye simu yako kuanzia sms za kawaii, calls, anaweza kucontrol uongee na nani na usoongee na nani. Anaweza kukuchukua video live bila wewe kujua. 😂 😂 😂 Ogopa technologyHabari wakuu
Nina mpenzi wangu aitwaye Zainabu, mwanafunzi wa IFM anayeishi Magomeni. Tumekuwa pamoja tangu form four, na mpaka sasa tumedumu licha ya umbali na pilikapilika za chuo. Zainabu ni msichana wa heshima, anayejiamini, na anayenipenda kwa moyo wake wote. Ila kitu kimoja huwa kinanitisha hana uvivu kwenye kuchunguza. Anaweza akakuuliza swali la kawaida huku tayari ana ushahidi mfukoni.
Maisha ya chuo yana vishawishi. Nilikutana na binti mrembo aitwaye Suzy, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza aliyejiunga mwezi mmoja tu uliopita. Alikuwa na tabia za kuvutia: alikuwa mcheshi, mpole, na mwenye maongezi ya kisomi. Nilianza kumtembelea hostel kwa siri, hasa usiku wa weekend, tukawa tunakula chakula pamoja, tukiangalia movie, na wakati mwingine… tukakosea mipaka ya maadili ya uhusiano wangu wa awali.
Zainabu mara nyingi alikuwa akinipigia usiku kwa video call. Nilikuwa namuambia tu, “Leo net iko vibaya, kesho nitakupigia.” Aliniamini, akaniombea kila mara. Hakuhisi kabisa kuwa kuna mtu mwingine anayechukua nafasi yake usiku wa manane.
Siku moja nikiwa kwa Suzy hostel, tulipiga picha tukiwa tumekaa kwenye kochi, tukiwa tumeshikiana mikono. Suzy akaweka hiyo picha kwenye Instagram Story kwa sekunde chache tu. Hiyo tu! Sekunde hizo zilitosha kuivuruga dunia yangu.
Zainabu aliona picha. Hakuniambia chochote usiku huo. Badala yake, alinipigia asubuhi iliyofuata na kuniambia, “Nataka uje Temeke nyumbani kwetu leo jioni, tuzungumze.” Nilihisi tofauti kwenye sauti yake. Sauti ilikuwa tulivu, lakini yenye nguvu ya ajabu. Nikajua, lazima kuna jambo.
Nilipofika kwake, alinipokea kwa upole. Hakuonesha hasira, wala kukasirika. Alinipa juice, akanikaribisha sebuleni. Kisha akasema, “Naomba uniangalie usoni.” Nikamwangalia.
Alichomoa simu yake, akanionesha screenshots za mazungumzo yangu na Suzy. Akanionesha picha niliyoipiga hostel. Halafu, akani play voice note niliyomtumia Suzy usiku wa Jumamosi, nikiwa nimelala kitandani kwake.
Nilishtuka sana. “Hii voice note uliipataje? Hata mimi sijai save!” Nikamuuliza kwa mshangao.
Akanijibu kwa utulivu, “Ramadhan, kuwa mjanja wa mapenzi si kazi. Ila kumbuka, hata sisi tuna akili. Huna haja ya kuniambia uongo. Nakuachia maisha yako. Mie nataka kusoma, siyo kushindana na wanawake wa hostel.”
Kabla sijasema neno, alisimama, akafungua mlango, na kusema, “Ukitaka kujijua upo wapi katika maisha, angalia unavyowatreat watu wanaokupenda bila masharti.” Nilinyamaza. Nikatoka nje nikiwa sijui hata kama napumua au la.
Sitasahau mtu yule aliyeitiwa mwizi na mwanachuo pale mabibo hosteli. Kipigo alichokipata mtu yule ?Habari wakuu

Jamaa kanogewa na buyu la asali anataka achonge mzinga kabisa awe na nyuki wengiHii inatusaidia nini? Acha umalaya. Wewe ni wa hovyo na malaya
Mtombee kisha pita hivi usimuweke sana akilini itakucostMwanamke hasomeshwi mkuu