Recent content by msukuma12

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga simu Clouds TV na kuwapongeza kwa kipindi cha Clouds 360

    Huo ni mtazomo wako tu coz hujui plan zake,je ikitokea akapiga simu na TV nyngine utasemaje????hapo amepiga clouds tu mapovu yanawatoka je angepiga simu TBC si ndio mngeongea mengi zaidi acheni fikra dhaifu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Magufuli kuhusu vijembe/mipasho

    Ukweli unauma sana na bado mtaumia sana mnaojaribu kuwachafua watu waliteuliwa na kupewa nafasi mbali mbali za uongoz na huo ndio ukweli amewapa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna kilimo cha umwagiliaji,hakuna ajira,hakuna mvua za uhakika,unakamataje vijana wasio na kazi?

    Manyumbu mtaumia sana maana serikali hii inataka kila mtu awajibike kwa nafadi yake sasa nyie endelee kupinga kila jambo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nani kama Makonda?

    Kwaiyo huo ndio ukimya kikwenu sio???
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    We si umeona sasa kumbe BOT kuna wafanyakazi ambao hawana sifa za kufanya kazi hapo na watu wanalipa madeni bila kufuata utaratibu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza itatingishika Lowassa atakapowasili kesho!

    Tafuteni kick nyingine #hapa kazi tu majungu yenu huko huko
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mhe Rais, Ziara za Kushtukiza Imetosha sasa Fanya za Kimkakati

    Huoni kama umekurupuka na hili andiko lako???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    Huoni kama wewe ndio umekurupuka hapo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Meli za mizigo zapungua bandari Dsm

    Kwaiyo point yako ni nini hasa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Kwa kuhutubia Kwa kiswahili

    Huo mtazamo wako mkuu,coz kiingereza sio lugha rasmi kwetu so raisi kuongea kiswahili haimaanishi hajui kiingereza but ameamua kuienzi lugha yetu,unatakiwa kuwa mzalendo mkui
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Tayari Amefanikiwa, na Njia Inaonekana Sasa

    Upuuzi unaanzia kwako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Carine Wangwe ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NSSF

    Uteuzi huo umetenguliwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Harambee na michango nyumba za ibada zimeishia wapi?

    Kipindi uchaguzi kimeisha tusubirie tena 2020
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ajitosa kuwatetea Watumishi wa Umma waliofukuzwa

    Huyo allikua mmoja ya wale walikua wakilalamikia watendaji na watumishi wabovu but leo tunaona unafiki wake baada ya kuona magufuli anafanyakazi na kutatua kero za mwananch,yale maneno ya magufuli aliyoyasema jana arusha wakati wanazindua mradi wa barabara ndio hayo
Back
Top Bottom