Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
Una utani na mamvi.alipanda mpaka daladala leo ukimuliza ilikuwa route ya wapi nauhakika hawezi kukwambia.huu usanii huu
Hata salam wakati mwingine ni fake.Wanasiasa wanachoweza kukwambia cha kweli ni salam tu, inasikitisha wamewaloby hadi viongozi wetu wa kidini.
daah ndo hivyo mkuu aiseeMkuu nimekua tu concerned na wale wanaoonekana kumpenda Mungu ghafla hasa vipindi vya uchaguzi sasa hatuwaoni kabisa.
dunia hii inawasanii ambao naamini huwezi kuwapata hata mbinguni.Ghafla zile neema kwenye nyumba za ibada kutoka kwa watu flani waliokua wakitafuta madaraka zimekoma.
Msimu wa neema na mavuno mpaka 2020.
Nabaki kujiuliza maswali haya;
1. Je kumtolea muumba wako ni mpaka ukiwa na shida ya nafasi flani ya madaraka?
2. Upendo na ukaribu kwa taasisi za Dini ni wakati was chaguzi tu.
3. Mwenyenzi Mungu asubiri mpaka 2020 ndio tumwomeshe namna tunavyojali watumishi na nyumba zake za ibada?
Rai yangu kwa nyumba za ibada na kwa watumishi wa Mungu kww Dino zote kuwakataa watu wore wanaojiweka karibu yao vipindi vya uchaguzi mkuu pekee, haileti picha nzuri kwa wahusika.
wakati mwingine najiuliza hivi wewe una matatizo gani? Maana swali limeulizwa kwa watoa sadaka wewe unaongelea vitu vingine. Viroba vimekuharibu akili yakoMkuu matukio yote usiyaseme tu mdomoni weka Na ushahidi hapa, usipoweka utakuwa miongoni mwa mavuvuzela wa Lumumba
Naona umerudi toka kisiwa cha kojan, karibu sana mkuuu, pia bunge lijalo tunaomba ile hoja ya kuturuhusiwa bangi ijadiliwe tena upya kwa maslahi mapana ya taifawakati mwingine najiuliza hivi wewe una matatizo gani? Maana swali limeulizwa kwa watoa sadaka wewe unaongelea vitu vingine. Viroba vimekuharibu akili yako
Huko unakoelekea mkuu unataka hapa pachafuke maana kuna watakaokuja hapa wakidai yale matukio ya yule jamaa yenu nayo yarudiwe, sasa sitaki kuyasema hapa maana unaelewa nini namaanisha
Sidhani kama ukawa wana hoja zaidi ya kuongeza shanga tu viunoni...na tutakua tunazikata every now and then...Naona umerudi toka kisiwa cha kojan, karibu sana mkuuu, pia bunge lijalo tunaomba ile hoja ya kuturuhusiwa bangi ijadiliwe tena upya kwa maslahi mapana ya taifa
Bangi inaongeza pato LA Taifa tutaka huo mjadala urudi mjengoni kuhakikisha pato LA taifa linaongezeka ili tuweze kufanikisha elimu bure kwa wenetu, bangi peke yake itafanikisha mpango wa elimu bure Na itaondoa huu usumbufu wa changia changiaSidhani kama ukawa wana hoja zaidi ya kuongeza shanga tu viunoni...na tutakua tunazikata every now and then...
Nipe faida kumi za shanga, maana inaonekana wenzetu wa ukawa mmetaumbua faida zake kuliko hasara, kiasi kwamba limekua vazi rasmi la kambi ya upinzani..Bangi inaongeza pato LA Taifa tutaka huo mjadala urudi mjengoni kuhakikisha pato LA taifa linaongezeka ili tuweze kufanikisha elimu bure kwa wenetu, bangi peke yake itafanikisha mpango wa elimu bure Na itaondoa huu usumbufu wa changia changia
Ingekuwa vyema nawe ukanieleza nni faida za kufuga fisi hata kutembea nawe ktk mikutano yenu, km wewe mwanaume unajua faida za shangaNipe faida kumi za shanga, maana inaonekana wenzetu wa ukawa mmetaumbua faida zake kuliko hasara, kiasi kwamba limekua vazi rasmi la kambi ya upinzani..
Watanzania wa ukawa ndivyo mlivyo mnajibu maswali kwa kuuliza maswali, inaelekea tutakesha hapa maana huna majibu ya maswali yangu, nimekwambia unipe faida kumi za shanga according to UKAWA...nasubiria jibu la swali langu.Ingekuwa vyema nawe ukanieleza nni faida za kufuga fisi hata kutembea nawe ktk mikutano yenu, km wewe mwanaume unajua faida za shanga
Watanzania wa ukawa ndivyo mlivyo mnajibu maswali kwa kuuliza maswali, inaelekea tutakesha hapa maana huna majibu ya maswali yangu, nimekwambia unipe faida kumi za shanga according to UKAWA...nasubiria jibu la swali langu.
Hapo kwenye bold; una undugu wowote na Edo Kumwembe?Wanasiasa wanachoweza kukwambia cha kweli ni salam tu, inasikitisha wamewaloby hadi viongozi wetu wa kidini.