Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,178
Mh. John Pombe Magufuli, Rais kipenzi cha Watanzania walio wengi tayari amefanikiwa katika utawala wake, na kwa hiki kipindi kifupi njia ya kuelekea kwenye maendeleo ya kweli na Tanzania mpya yenye heshima, uchumi imara, uzalendo, umoja na mshikamano imejidhihirisha.
Kuna viashiria vifuatavyo;
1. Mapato ya serikali yameongezeka na kuvunja rekodi zilizopita. Hii ina maana kwamba miradi ya maendeleo itatekelezeka na azma ya kuwa nchi ya viwanda itafanikiwa.
Ili tuwe nchi ya viwanda Tz tulihitaji miundombinu tu, vyanzo vya nishati, ardhi na nguvukazi tunavyo.
2. Utendaji serikalini umeimarika sana. Sasa hivi ukienda ofisi za umma hakuna urasimu au umepungua kwa kiwango kikubwa.
3. Mahusiano ya kikanda na kimataifa yameimarika. Hatutengwi tena kwenye vikao vya EA
4. Itikadi za kisiasa hazina nafasi tena ya kukwamisha maendeleo. Tunaangalia zaidi maendeleo na Utanzania, na sio itikadi.
5. Nk, nk ...nk ...
Lakini kuna changamoto kubwa mbili
1. Kuna watu ni wazito kuelewa maana ya mabadiliko
2. Kuna watu wachache waliokuwa wananufaika na mfumo dhaifu ambao hawapo tayari kukata mirija ya unyonyaji.
Hawa wanatumia mbinu mbalimbali kujaribu kumkatisha tamaa Rais wetu.
Lakini mwisho wa siku tutafika !