Recent content by msukuma fekero

  1. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Onana na afisa biashara direct hizo huwaga ni dili za watu hawaruhisiwi kukufungia
  2. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Camera za siri kwenye airbnb na kurekodiwa bila idhini yako

    Wenye hizo nyumba siyo wajinga wateja wengi ni wezi ndiyo maana wakaona waweke hizo camera mmezidi kutupa hasara watu wanabeba mpaka tv uungwana uko wapi
  3. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Siku hizi wanakata moja kwa moja kwenye tiketi upite usipite tayari washachukua ya kwao
  4. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania RESOLVED HOJA Ushauri wangu: Mabasi ya abiria ya mikoani yaishie Mbezi Magufuli

    Mbona inajulikana tozo zote huwa zinakatwa kwenye tiketi ndiyo maana abiria akiwa na tiketi hatakiwa kudawaida kiingilio stand
  5. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Wachina wadaiwa kuwapiga vibaya Watanzania

    Muafrika bila viboko hatuendi ndiyo maana hamna kampuni ya mtu mwenye akili ukakuta ameweka msimamizi muafrika
  6. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Belgium matako yao
  7. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

    Maccm yanawzoom kwa mbali muwe wengi na hayo maEV yenu halafu tuwachape kodi moja isiyoeleweka hamtaamini mtatamani mrudi kwenye mafuta
  8. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Oviedo iko wapi? Mmiliki wake ni nani?

    Itakuwa hali imekuwa mbaya huko mtaani ameamua kuja tumboost ili awatapeli vizuri wajinga
  9. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Oviedo iko wapi? Mmiliki wake ni nani?

    Sema tu utapeli hiyo network marketing ni kupunguza makali ya maneno ili watu waendelee kupigwa
  10. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Tarehe Mbaya Hizi...

    Mfurahisha genge tu huyu hana lolote
  11. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    Ili iweje kwanza haina maana yoyote katka uislamu
  12. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania FIFA wamejitahidi kudhibiti upotevu wa muda. Wachezaji wamebadilika sana.

    Kitu ikishapitishwa na FIFA ndiyo dunia nzima hivyo
  13. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Waitara: Anayesema kuna Yuda kwenye Serikali, amtaje, Simai humu ndani, atoke, hatuwezi kuonekana Watu wa ovyo... akome, kabisa!

    Hamna kitu wewe ccm huwajui wewe watakishangaza hao wezi
  14. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Japan waendelea na utamaduni wao wa kusafisha chumba cha kubadilishia nguo baada ya mechi

    Sisi miafrika ni ngombe bila viboko hatuwezi kuwa wastaarabu kamwe haliji kutokea maana wasomi ndiyo waanaoongoza kwa wa hovyo kuliko hata vijijini
  15. msukuma fekero

    JamiiForums Tanzania Japan waendelea na utamaduni wao wa kusafisha chumba cha kubadilishia nguo baada ya mechi

    Unaingia kutoka wapi ? Na wao waliupata wapi? Sisi ni wapumbavu mno kama wahindi tu mtu anakunya juu ya sinki anaacha choo kama siyo unyani ni nini?
Back
Top Bottom