Recent content by msugupendigwite

  1. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu chanjo... Part 2 – uviko 19 (muendelezo wa uzi wa elimu kuhusu chanjo)

    Kabla ya kuendelea tafadhali piti andika linalohusu chanjo kwa ujumla Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini) UVIKO 19 NI NINI? Kwa Kiswahili tunaita UVIKO 19, yaani “Ugonjwa wa Virusi vya Korona wa mwaka 2019” ikiwa ni tafsiri sisisi ya maneno “Corona Virus Disease 2019”...
  2. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Madhara ya P2 (njia 15 bora za kuzuia mimba/uzazi wa mpango)

    Hongera chief, mada nzuri
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini)

    ELIMU KUHUSU CHANJO KWA UJUMLA Habari za muda huu wana JF hususan wa jukwaa hili la “stories of Change”, Karibuni tushirikishane elimu kuhusu Chanjo zote zinazotolewa hapa nchini, iwe umewahi kuchanjwa au la halafu tujadiliane kwa pamoja kwenye uzi huu…….. CHANJO NI NINI?? Chanjo ni dawa ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatua nne za kijasusi zinazoweza kumfanya mtu anuse hatari haraka

    Duh kwahiyo wala matunda kimasihara ni majasusi eeh?? Pongez kwetu tafadhali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    hahahahah sakimbila nda mvina
  6. M

    JamiiForums Tanzania Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

    karanga mbichi znapunguza harufu??? nina ndimu ilokaushwa vp inafaa??? nimesaga kitunguu saum nimeweka ndim nkanywa mechukua maji ya vuguvugu robo asali kijiko kimoja niko sahihi?????
  7. M

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Ok mkuu nitafanya hivo mmiiliki lazima awe medical pesonnnel???? na kama ni medical personel ni wa kada ip sana ktk medicine humo humo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Serikali wanaojiongezea kipato kwenye Hospitali binafsi kukiona...

    Akili yako ni fresh kama jina lako......... Pole sana kwa kuwaza kuwa kuna taaluma muhimu na zisizo muhimu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Ndugu Silumbe naomba unitumie huo mwongozo nami nataka kuwekeza kwenye biashara hii Email: kivikes@yahoo.com
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo na programu zilivyozuiliwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18

    hiyo ni level mpya ya elimu mkuu......., ipo Tanzania???
  11. M

    JamiiForums Tanzania Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

    Kina kajua yote mshakuja na assumption zenu!!! hao ni mtu na mkwe wake, msikurupukeeee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Apigwa risasi nje ya Kanisa Ubungo

    Wabongo mna maneno, sijui ungekua wewe hata kutumia hyo silaha kam ungweza!!!! maandazi kweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni link ya kupata fixture za premier betting........ nataka fixture ya half crazy
Back
Top Bottom