Recent content by msubugwe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimeota Nafanya Ngono na Dada angu Tumbo moja

    Inawezekana nyie sio ndugu, kaa na mama vizuri anaweza akakupa ukweli!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Magufulians vs Anti-Magufuli

    We dini gani mkuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ubashiri: Rivers United vs Yanga

    UTO WANAKULA MKONO TU
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuachiwa Uamsho na kukamatwa Mbowe kwa Ugaidi Kuna athari kiimani?

    Tulia wewe mchumba! Masheikh wamekaa jela miaka nane mlikua mkicheka tu, Mbowe hata wiki hajamaliza mshaanza kuwashwa, Halafu haya mambo Ukaskazini yameingaje hapo. (Achana na propaganda eti "upeo" yaani unaamini kwamba wachaga wana upeo zaidi ya Watanzania wengine?).
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

    Mtoa mada wewe mwenyewe unauelewa duni.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan, mambo yafuatayo ni muhimu

    Mzee kuna Masheikh wapo jela umesahau kuwasemea au kwakua wewe ni Askofu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    TWO PROFFESIONALS: DEGREE YA COMPUTER SCIENCE, DIPLOMA YA EDUCATION. Niliajiriwa kama mwalimu wa Diploma sasa hivi nipo halmashauri kama mtaalamu wa IT nakula mema ya nchi. Mzee ajira sasa hivi ni survival for the fittest jiongeze lazima uwe wa tofauti na uwe na vitu vya ziada na uwe na akili...
Back
Top Bottom