Recent content by Mssesejunior

  1. M

    Zaidi ya Watu Milioni 11 wamejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, BVR

    Inawezekana watu wakaandikishwa hata mil 25 lkn je watapiga kura siku ya uchaguzi? Kuna mazingira yanaandaliwa yanakayopunguza hio idadi kwa kiasi kikubwa kadir iwezekananvyo. Moja ya mkakati ni ule wa kuwapeleka likizo wanafunz wote wa vyuo vikuu hivyo watakua likizo japo wamejiandiksha...
  2. M

    Watuhumiwa wa wizi wa Fedha za EPA waachiwa huru

    Hakika ngoja na mm nijipange nipige ya kunitosha najua mahakaman hawanishindi; ufisadi unalipa ila rushwa utafia jela. Hakuna kisichoezekana hapa kwenye shamba la bibi
  3. M

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    nenda nae taratibu; cha'gamoto zilikua ni ardhi iloporwa pamoja na majengo lkn pia hali mbaya ya majengo yaliyokua yamechukuliwa na serikali Kwa bahat mbaya bakwata hawakua sehem ya changamoto hizo kwa kua hawakua na shule wala hpspital au ardhi walokua wanaidai; So naturally wakawa hawana la...
  4. M

    Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Uko sawa sawa mkuu; kwa kweli nakereka na aina hii ya viongoz; Nakumbuka nikifanya shughuli fulan huko jimbon kwake ilikua inanipasa kusafir na maji toka arusha mpaka lt 500 kwenye gar kuwapatia wale tutakaowatembelea kwa kias kichozid lt 5 kwa kaya. Cha ajabu wakina mama wakitoka na punda...
  5. M

    Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

    Bila shaka wangetoa na mafuta ya kuziendesha mana ztakua juu ya mawe not only coz are not working bt no budget to run them including fuel. It can be a spare part deal as well;
  6. M

    Mbeya kuna nini leo? JWTZ watanda mji mzima

    Are you serious!! ficha uso wako kwa aibu ndg
  7. M

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Hivi kumbe hata mtu ambaye ubunge kazawadiwa kama kina mama anaeza kuamka asubui akautaka urais?! stop kidding!!
  8. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Kiukweli inatia shaka sana kama nchi itaongozwa na mtu kama lowasa. Hatoeza kumudu changamoto za ulimwengu huu ambazo nyingi ziko ktk mfu mo wa majadiliano kwa kua hawez kujenga hoja kabisa Lakin la pili ambalo hata anaeondoka ana tatizo hilo ni upstairs memory; Leo pamoja na kwamba it was...
  9. M

    Tafakuri yangu: Waislamu wanaonewa au wamekosa elimu?

    Kutajiwa jina moja moja hakutakusaidia chochote haya mawazo ya kila kinachofanyika ni msaada yanafubaza akili za wengi kama ww; siku za karibun wazungu hawatoi misaada ya makanisa kama zaman kwan kuna muda watu wanapaswa kujitegemea baada ya kubebwa kwa muda wa kutosho. Kuamin kua vyuo...
  10. M

    Bango la miaka 51 ya Muungano

    Naona hazikutoshi ww; kaazime nyngne kwa jiran yako; Kwa hiyo kura ya NDIO hata kama hujaipitia rasim ni sawa lkn YA HAPANA bila kuipitia rasimu si sawa; utakua umetumwa afu umesahau wslichokutuma
  11. M

    CHADEMA hebu mjibuni huyu kijana wa Moshi Mjini

    Dah kuna watu wanapenda sana kuwagawa watanzania na kuwaaminisha kwamba wachaga ndivyo walivyo; Mtu kama wewe akili yako ifananishwe na nn; bora zezete anaetembea na kinyesi kwenye nguo zake kuliko ww unaetembea na kinyesi kwenye ubongo; kinyesi cha ubaguz na matusi ndo uwezo wako; Polen...
  12. M

    Tume ya Taifa yasema kura ya maoni haitapigwa sambamba na Uchaguzi Mkuu 2015

    Hapa kuna tatizo mana taarifa ya awali alisema hili linawezekana kama walivokwisha fanya baadhi nchi ambazo hakuzitaja na kisha akaomba wamalize kwanza kuandikisha ndo ajibu maswali zaid; punde keshakana kauli yake mwenye?! madaraka is ad dictive
  13. M

    Lowassa amwaga T - Shirt Musoma mjini

    Bila shaka kwenye incinerator unaenda kuzifanyia ''bolding'' mhhhh
  14. M

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Mm sikuelewi maana mwenyewe huezi tofautisha busara na akili nyingi; two different parameters; Mbaya zaid hujui kuwa kila aliekuzidi ww akili kwa tafsir sahihi ni kwamba ana akili nyingi. Heuz kushangaa kua hata mpenz wako ulienae anakuona una akili sana japo ulikua unashika mkia kila uchao...
  15. M

    Ipi ni bei halali ya Pikipiki?

    mkuu mjini shule; kwa manufaa ya wanunuzi ni vyema ikabaki kua siri ya mnunuzi mpaka ww utakapoenda kununua ndo utajua kwa nn imeandikwa 1.2ml. Biashara ya pikipiki ni biashara huria ivo usitegemee fixed price.
Back
Top Bottom