Recent content by msonganzila

  1. msonganzila

    Kukatika katika umeme Dar, Waziri Kalemani jitathimini

    Yeye anafukuza fukuza wataalamu akihisi Umeme unatengenezwa na Sasa..... Mazara yake hayo..... Wataalamu wanamwangalia tu......
  2. msonganzila

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta Nyumba ya kupanga,iwe na Vyumba 3 ,.Maeneo iwe Njia ya Goba kutoka Mbezi mpaka Masana au kutoka Goba Senta mpaka .Mwisho wa Daraja Mwelekeo Makongo,Offer yangu 200,000/= kwa Mwezi Karibu kwa Mwenye nayo +255-683-011-022
  3. msonganzila

    Mrejesho na ufafanuzi: Yatokanayo na tiba ya chumvi

    Kaka Asante sana kwa Darasa..... Naomba kuuliza,Nikiweka Chumvi kwenye ndoo ya lt 20 usiku kisha nikaoga Maji hayo Asubuhi..... Au ni vema kuweka hapo hapo kisha unaoga......?? Na Inatakiwa nioge kwanza Maji na Sabuni kisha nikitakata nijimwagie Yale ya chumvi...?? Je wakati wa kunuia natakiwa...
  4. msonganzila

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya tatu

    Kaka Asante sana kwa Darasa..... Naomba kuuliza,Nikiweka Chumvi kwenye ndoo ya lt 20 usiku kisha nikaoga Maji hayo Asubuhi..... Au ni vema kuweka hapo hapo kisha unaoga......?? Na Inatakiwa nioge kwanza Maji na Sabuni kisha nikitakata nijimwagie Yale ya chumvi...?? Je wakati wa kunuia natakiwa...
  5. msonganzila

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Kaka Asante sana kwa Darasa..... Naomba kuuliza,Nikiweka Chumvi kwenye ndoo ya lt 20 usiku kisha nikaoga Maji hayo Asubuhi..... Au ni vema kuweka hapo hapo kisha unaoga......?? Na Inatakiwa nioge kwanza Maji na Sabuni kisha nikitakata nijimwagie Yale ya chumvi...?? Je wakati wa kunuia natakiwa...
  6. msonganzila

    Yupo wapi Jasusi Apson Mwang'onda

    Huyo hapo anaumwa mzee wetu....
  7. msonganzila

    Mashine ya kutengeneza fance wire inauzwa

    Nipo Dar pia bei ni Tsh 3.5Million....karibu sana.....
  8. msonganzila

    Mashine ya kutengeneza fance wire inauzwa

    Mashine hiyo imetumika,ipo kwenye hali nzuri sana.....karibu 0715-011022
  9. msonganzila

    Hivi kuna kondom hua zimepandikizwa magonjwa?

    Unaambiwa Ukimwi ni Pesa,sasa Kama ni pesa ni razima uenezwe kwa kila njia..... Lisemwalo lipo na Kama halipo laja, AKILI ya Kuambiwa changanya na yako......
  10. msonganzila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asanteni sana Ndugu zangu Tanesco na wote mliohusika Kutatua Tatizo langu, Mimi ni Mteja wenu wa DODOMA nilileta malalamiko kuhusu Mita ya kiwanda cha kukamua Mafuta ,Jumatatu wamekuja mafundi na wamefunga Mita mpya, hapa nafurahia huduma tu..... Asanteni sana pia nawatakia kazi njema
  11. msonganzila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante sana, natanguliza Shuklani zangu...
  12. msonganzila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naumia sana kuona linachukuliwa kama mzaha wakati limebeba Mapato yenu ajira kwa Watanzania na faida kwa Nchi kwa kulipa kodi kulingana na Ninachopata..... Week Mbili kweli....??
  13. msonganzila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ni kweli nakosa Huduma kwa Mita kuharibika week mbili kwa Shirika kubwa kiasi hiki.....?? Nateseka sana,majibu yenu ni KISIASA..... au kwa sababu Watanzania hatuna mmbadala Ndiyo maana mnalinga....
  14. msonganzila

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mbali sana maana itakuwa tayari Week 3 ni Hatari sana kwa Ustawi wa Biashara pia Mapato ya Nchi.... Naomba Jitahidi kwa uwezo ulionao leo nipate umeme maana tayari mpaka Leo ni Week Mbili....
Back
Top Bottom