Recent content by msomi uchwara

  1. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania BODI YA LIGI mkiachana na Gas detector tunawaomba mbia muweke kitengo maalumu cha kufanya Doping test.

    Propaganda hizi..mchezaji professional hawezi kukubali kujichoma madawa wakati uwezo wa kucheza dakika 90 au 120 bila anao. Hawawezi ku risk careers zao kisa simba na yanga
  2. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga wachague uwanja wa uhuru na sio KMC stadium?

    Lakini mbona yanga anaweza kwenda tu kuroga bila kuandaa mechi. Lengo kubwa la yanga n
  3. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga wachague uwanja wa uhuru na sio KMC stadium?

    Lakini mbona yanga anaweza kwenda tu kuroga bila kuandaa mechi. Lengo kubwa la yanga ni wachezaji wakazoee ile pitch mpya ili wasipate tabu tarehe 10
  4. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Apumzike kwa amani mzee wetu
  5. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni kati ya tamasha la Simba na Yanga lipi limekuwa tamasha bora kwako?

    Mkuu, swali lako umetoa options mbili tu, kati ya simba au yanga! Sasa mbona wewe umetoa jibu ambalo halipo kwenye options zako..umejibu yote yalifana🤣🤣
  6. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Sio mzuri, Hana shepu nzuri bado hata mapenzi kitandani hajui, huyu unafanyaje?

    Mvumilie tu. Kila mwanamke ni mbovu. Nguo zinadanganya mengi. Lakini akivua nguo ukiwa nae ndani na kula mzigo ndo utaona ubovu wao
  7. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Upi ni muda mrefu uliokaa bila kufanya mapenzi?

    Miezi mitatu tu. Tena kwakua ilikua nipo JKT. Kwasasa siwezi kutoboa zaidi ya wiki mbili
  8. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania TFF imepitisha Kanuni mpya—Timu isipoingia Dressing Room, itakatwa alama 5

    Watasema simba/yanga hawajaingia kwenye vyumba na tulipoenda kupima kweli tulikuta kuna hewa ya sumu...yanga akigundua kwenye chumba kuna uchawi kategewa na simba, atakachokifanya ni kumwaga dawa yenye harufu kali na sumu halafu haingii kwenye hiko chumba. Tff wakija kupima watakuta ni kweli...
  9. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Siku hizi kuna Apps nyingi sana za kutengeneza shape ya mwanamke, ila wengi live hawako kama kwenye picha.
  10. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania AL Jazeera wanahoji kwanini Iran inashambulia nchi za Kiarabu lakini wanaogopa kuishambulia Israel na Meli za Kivita za Marekani?

    Israel yeye anachapa tageti na kula vichwa kila siku..nadhani iran anajua kuwa bora waendelee kuchapana na marekani lakini sio israel
  11. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kuna vita kali kati ya wauzaji wa jumla na rejareja

    Wataanza kuagiza mzigo china na wao
  12. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi outlander, Subaru Forester au Harrier nichukue lipi?

    Huyu jamaa yeye ni mfuasi mkubwa wa German cars, hawezi kutumika kama reference ya choices kwenye gari za kijapani. Mimi nina harrier tako la nyani mwaka wa pili huu ninajua faida za hii gari. NB: kila mtu ana zile gari ambazo hazimfutii machoni kwake na hana sababu zinazomfanya aichukie hio...
  13. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania Wenzangu, mnawezaje kuishi na wanawake wababe?

    Huyo sio mbabe. Ila mapenzi yake kwako yalishaisha.
  14. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania HAKUNA CHA KUMRIDHISHA MWANAMKE

    WAtu wanawachukulia sana kwa upana wanawake ndio maana wanaona ni watu wasioridhika au kueleweka..ila kila mwanamke ana mwanaume wake mmoja ambae anamridhisha kwa kitu anachopenda
  15. msomi uchwara

    JamiiForums Tanzania KERO Nimesafiri toka Mwanza-Musoma kiukweli barabara zetu bado ni changamoto

    Hujakutana na barabara ya kuanzia tunduma hadi igawa
Back
Top Bottom