Recent content by msofechris

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ni Watanzania wanaojitambua kweli unagalagala kisa Rais kafanya ziara Mtwara!

    Wakati mwingine sio lazima sana kutumia lugha usiyoijua
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha usimamizi wa mochwari (mortuary attendant)

    Kweli wewe umechoka ,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

    Sina hakika kama wametengeneza mabango ,itakuwa wamepewa Kwa ajili ya mapokezi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini Tandahimba wamejiandaa kukudanganya

    Ila na mimi napata mashaka Kuna kitu hakiko sawa ,Kwa nini bei iandikwe Kwa mabango baada ya kusikia ujio wa Mh Rais
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeiona payroll ya August aweke hapa

    Hahaha nilishaona dalili ,ukiweka matumainj makubwa kinachotokea ndio hicho ,ila hata hivyo sio haba Sent from my TECNO BD2p using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Kwani Kuna watumishi wa kada nyingine wameongezewa?au watumishi ni walim tu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: TAMISEMI hutoa kiasi gani cha pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya?

    Naomba nikushauri jambo,azima pesa popote angalau uwe na laki Tano ,Kisha uende kazini pia maneno ya hapa mtandaoni ni mengi mara unaambiwa pesa ya kujikimu ni 1m hakuna kitu kama hicho na wengi wanaochangia hawajui hata kanuni ya subsistence allowance,zingatia ninachokushauri hiyo pesa utaipata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Ila kumbukeni wa kiswahili,geography,history,civics bado tunao wakipungua tutawaambia
  9. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Kushindwa kuzingatia tangazo na kujifariji kuwa natuma hivyo hivyo mfumo ndio utachagua ni kupoteza muda
Back
Top Bottom