Hivi hawa ni Watanzania wanaojitambua kweli unagalagala kisa Rais kafanya ziara Mtwara!

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Kiukweli Tanzania kama nchi bado tuna safari ndefu sana hawa ni watu wa mkoa wa Mtwara wakighalaghala eti kwasababu Rais ameenda mkoani kwao.

Chawa wa mama basi wanafurahi wakiamini mama anapendwa kumbe ni movie tu inachezwa na watu wake

Tanzania kuna vituko vingi vya kusifu na kuabudu wanasiasa ambao hata hakuna wanachofanyia wananchi! Kweli Tanzania ukiwekeza kwa wananchi maisha yako muda wote unaishi vizuri.

Kipindi kama hiki gharama za maisha zilivyopanda umeme shida lakini chekini vituko vilivyopo hapo

View attachment 2754457
Mtaji wa CCM ni umbumbumbu wa Watanzania
 
Ogopa unafiki wa watu wa kusini utajuta wamebarikiwa sana kwenye unafiki
 
Nafuu ukose Mali kuliko kukosa akili.
20230918_175844.jpg
20230918_181227.jpg
 
Kiukweli Tanzania kama nchi bado tuna safari ndefu sana hawa ni watu wa mkoa wa Mtwara wakighalaghala eti kwasababu Rais ameenda mkoani kwao.

Chawa wa mama basi wanafurahi wakiamini mama anapendwa kumbe ni movie tu inachezwa na watu wake

Tanzania kuna vituko vingi vya kusifu na kuabudu wanasiasa ambao hata hakuna wanachofanyia wananchi! Kweli Tanzania ukiwekeza kwa wananchi maisha yako muda wote unaishi vizuri.

Kipindi kama hiki gharama za maisha zilivyopanda umeme shida lakini chekini vituko vilivyopo hapo

View attachment 2754457

Ukiona mtu anamshangilia ujue kanufaishwa na kaona umuhim wake. Kama shida zao zimetatuliwa wataachaje kumlaki namna hio

Shida ni mnataka watz wote tuwe na akili kama zenu
 
Ni swala la dau tu, hata mimi nagalagala dau likiwa la maana tena nini kugala gala hata i play monkey akiruka mitini kama dau linaendana …
 
Kiukweli Tanzania kama nchi bado tuna safari ndefu sana hawa ni watu wa mkoa wa Mtwara wakighalaghala eti kwasababu Rais ameenda mkoani kwao.

Chawa wa mama basi wanafurahi wakiamini mama anapendwa kumbe ni movie tu inachezwa na watu wake

Tanzania kuna vituko vingi vya kusifu na kuabudu wanasiasa ambao hata hakuna wanachofanyia wananchi! Kweli Tanzania ukiwekeza kwa wananchi maisha yako muda wote unaishi vizuri.

Kipindi kama hiki gharama za maisha zilivyopanda umeme shida lakini chekini vituko vilivyopo hapo

View attachment 2754457
Hawa wanafaa kucharazwa viboko.
 
Back
Top Bottom