Recent content by Msodido

  1. Msodido

    JamiiForums Tanzania Inachukuwa muda gani kupata mafao ya aliyefariki kutoka PSSSF?

    Nenda sehemu husika ili upate maelekezo.
  2. Msodido

    JamiiForums Tanzania Kukaa nyumbani bila kuwa na kazi ya kuingiza kipato kunaninyima furaha

    Aise pole sana,unapita pagu sana maana kusomesha sio mchezo mchezo.
  3. Msodido

    JamiiForums Tanzania Kukaa nyumbani bila kuwa na kazi ya kuingiza kipato kunaninyima furaha

    Habari wana JF. Nilikuwa nikifanya kazi ya udereva katika kampuni moja ya utalii,ila baada ya janga la corona,tuliaimamishwa kazi. Sasa tangia tusimamishwe kazi ni miezi sita sasa,kila nikitafuta mishe sipati. Sasa maisha ya nyumbani yananikosesha furaha,japo mke wangu anashughulika na...
  4. Msodido

    JamiiForums Tanzania Mpwa usije Mjini. Najua hutanielewa lakini ndo ukweli

    Maisha sio kamali mpwa....lazima ufanye kitu kinacho eleweka,baada ya covid 19 maisha yalivulugika mjini.
  5. Msodido

    JamiiForums Tanzania Hata waganga wa kienyeji tumeumizwa pia

    Hadi wajumbe[emoji41]
  6. Msodido

    JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo gani, Nimsaidiaje?

    Mpeleke kwa mtumishi Mwamposa pale kawe,izo ni nguvu za giza
  7. Msodido

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya njozi hii

    Me mwenyewe nashangaa,ndoto gani yenye vipengele!!!!????
  8. Msodido

    JamiiForums Tanzania "Kilimo cha Nyoka" toka kwa motivational speakers

    [emoji848]!!!
  9. Msodido

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Unaleta matatizo ukiwa madarakani,alafu kipindi cha kampeni ndio una kuwa mtatuzi!!!!siasa bana[emoji848][emoji848][emoji848]
  10. Msodido

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CCM aelezea faida za Kitambulisho cha Mjasiriamali

    Hivi elfu ishilini inaweza kukuwezesha kukopa malaki au mamilioni ya fedha? CCM msitufanye cc wajinga[emoji848][emoji848][emoji848]
  11. Msodido

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

    Kwa nini ma cute girl kichwani zero,ila zinazo umia ni sehemu nyeti.
  12. Msodido

    JamiiForums Tanzania Namuokoaje rafiki yangu ambaye ni Mwalimu Kijijini, michezo ya wabaya usiku inamnyima raha

    We mwalimu una hasira🤣🤣🤣
  13. Msodido

    JamiiForums Tanzania Uliweza kuishi vipi katika mazingira kama haya?

    We mjita una roho ngumu du!!!!
  14. Msodido

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

    Wazee wa vumbi la kinshasa[emoji23][emoji23]
  15. Msodido

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni pasua kichwa. Siamini

    Hapo kuna majanga sana,ila kaamua kufupisha.
Back
Top Bottom