Recent content by MSITUMTITUSANA

  1. M

    Dr. Slaa kuzungumza na Watanzania kupitia Star TV, leo Ijumaa, saa 3 Usiku

    watu wamechoka JK atakuwa yeye ?? anapoteza muda wake bure.
  2. M

    Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

    KIUKWELI naweza kusema Dr slaa aijenga zaidi CHADEMA kuliko matarajio ya waliomtuma. in fact hata yeye mwenyewe Dr slaa haamini kinacho endelea maana kama ni mafuriko ndio yanazidi mpaka SUMBAWANGA watu wanadeki barabara kwa maji safi na foma dazo ili Rais mtarajiwa kipenzi cha watanzania...
  3. M

    Lowassa atinga mkutanoni Halmashauri Kuu, Waimba tuna imani na Lowassa

    Acheni unafki nyie watanzania.kama kweli unaipenda nchi hii mimi ningeunga nanyi kama watu tunao wajua kwa ufisadi kama chenge,sitta,tibajuka,masaburi na wengine wengi wangeenguliwa kwenye siasa za chama chenu hapo mngepata uhalali wa kumnyoshea kidole LOWASSA.Watanzania wameamua hawaitaki ccm...
  4. M

    CHADEMA msijidanganye, Dr. Slaa hayuko peke yake

    unajua maneno yako yanaonesha ulivyo kata tamaa kutokana na mtu mlie mtegemea angemaliza kazi kuiangamiza CHADEMA amepiga mpira nje kabisa na umekuwa wa kurusha kwahiyo mnafikiri bado kuna mtu mwingine mnaweza kumtumia!! mnaweza kumpata na akatumika lakini CHADEMA ITAZIDI KUIMARIKA ZAIDI NA...
  5. M

    Yote tisa, kumi CCM wametuweza kweli kweli

    Kweli miaka hii ni kama umemkanyaga mdudu yule ambaye husababisha kumbukumbu zipotee !! kwani slaa alitokea wapi?? kwa taarifa yako watanzania karibu wote wenye miaka hamsini na kuendelea karibu wote wamewahi kuwa wanachama wa ccm. chamsingi sasa hivi wako CHADEMA.Kwa maelezo yako kumbe hata...
  6. M

    Asante Mh. Mbowe!

    sasa naanza kuwaamini vijana kuliko wazee watanzania kwenye siasa maana wazee wote ni waongo tena waongo kweli!! hata wewe!!
  7. M

    Dr. Slaa hatanyamaza, hataishia hapo!

    Mtasema sana ukweli wa mambo ni kwamba watanzania wameamua wanataka mabadiliko na ndio maana wapo wanaosema hata kama Lowassa asitufanyie lolote wanacho taka ni kuionesha dunia kuwa NCHI HII SIYO MALI YA CCM!! vijana wengi wameshaamua kura zao ni kwa Lowassa na wabunge wa UKAWA TU
  8. M

    Waandishi wa Habari mliokuwa Serena, Leo mmeumbuka na pesa za hongo zimewatokea puani

    Mleta mada kutoka moyoni mwako una mashaka kuwa this time ccm wanaanguka na ndio maana unajitahidi kuleta mada zaidi ya tano kila siku ukiiombea mabaya CHADEMA lakini unaona kama moto ndio unazidi. alipoondoka LIPUMBA ulifurahi sana na kudiriki kusema ukawa kwishney!! mafuriko ya Jangwani yaka...
  9. M

    Tundu Lissu: Dr. Slaa ni muongo, watanzania mpuuzeni. Maneno yote tatizo ni Urais

    ulikuwa hujui mambo peke yako wenye akili tunaijua kweli na ndio maana tunasema HATURUDI NYUMA!! Dr kachelewa gari tayari limesha shika kasi. LOWASSA MABADILIKO , MABADILIKO LOWASSA.
  10. M

    PICHA: Familia inakosa hata sufuria ya kupikia ugali,kweli?

    daa na wewe uko JAMIIFORUMS??? siamini.uliishia darasa la ngapi? eti laisi! sema Rais! halafu siyo nazani sema nadhani.
  11. M

    Mpuuzeni Selemani Kova, hajielewi yeye ni kada wa CCM au ni mtumishi wa umma

    kova kweli hajitambui binafsi sijawahi kuona mtu asiye tumia akilin kama yeye
  12. M

    Pinda apokelewa na Naibu Waziri Botswana

    mbona kuna siku alipokelewa na katibu kata wa huko!! maana walichoka kwenda airport kumpokea
  13. M

    Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Kifupi ni kwamba kuendelea kuitetea ccm ni kama kuhalalisha ujinga wao wa kuihujumu NCHI yetu.CCM wamefanya Nchi hii uongozi wake kuwa ni wa watu wenye pesa tu, masikini hata angekuwa na uwezo kiasi gani hawezi kuwa kiongozi siku hizi..Hivi kuna sababu yoyote ya msingi kuwauzia watanzania mafuta...
  14. M

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Kiukweli kituo cha television TBC kimevuka mipaka na sasa kinapendelea chama tawala wakati kinmaendeshwa kwa fedha za walipa kodi wa TANZANIA.Wanaudhi kupindukia.hawawezi kutumia kodi zetu halafu wafanye mambo watakavyo!! siku hizi habari zote za UKAWA na vyama vingine hawatangazi kabisa!! kWELI...
  15. M

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    usipoteze muda wako kuamini maneno ya mchumia tumbo! yule ni masikini wa kipato ni lazima ajipendekeze kwa watawala. kimsingi hajui anacho kitaka. kama kweli anapigania katiba iliyo pendekezwa na Warioba kamwe hawezi kipenda ccm kwakuwa ccm wamesha amua aina ya KATIBA WAIPENDAYO. UKAWA wanataka...
Back
Top Bottom