duuh,una ujasiri wa kishetani
wenye ujasili wa ushetani ni akina ninyi ambao mnashawishika kwa vipande vya fedha kwa sababu tu mmekosa kugombea urais.
Watu walimsaliti yesu kwa vipande vya shilingi
duuh,una ujasiri wa kishetani
Waandishi wa Tz waliwahi kutukanwa na waandishi wa habari wa Kenya japokuwa waliona kama wameonewa vile, Rais mkapa aliwatukana kwa kuwa majuha pia na wakakasirika sana, lakini ni ukweli amabo unaishi daima, waandishi wa habari wa Tz ni mizigo, wanajua kuandika tu na kupiiga picha, zaidi ya hapo hawana kitu. Ni mabomu na sumu inayoua kuliko ile ya panya. Wanaandika kwenye magazeti eti badala ya kujadiri facts alizoongea mtu wao wako busy wanataka kujua nani kalipia ukumbi, huu ni uandishi mbovu kuliko wakati ule wa Sparta na athens ya akina plato, enzi za ujima. Kwani inajalisha nini mtu akiongea amekaa juu ya mti, ama akiongea anakunywa chain? ama akiongea anakula Karanga? mimi ambaye sikuwepo wakati wa tukio sihitaji kujua aliyekuwa anaongea alivaa nguo gani, alikuja na usafiri gani, ama alitokea kula chakula gani kwasababu watu siku zote tunajadiri facts, tunajadiri mambo yaliyozungumzwa kwa kuyachambua, lakini leo tunaandikiwa eti gharama za mkutano, mara nani kalipia ukumbi, hizi ndo facts?
Lowassa si dhahabu il a Watanzania has vijana mmekuwa mazezeta hamfikiri tens. Nilikuwa mpenzi Wa ukawa but not now ufisadi juu
Chadema walikuwa na SLOGANI 'SISI TUNA MUNGU HATUNA FEDHA. Leo ni sawa????
Kama ni kweli niyasomayao humu kwamba Mzee Slaa hajaleta mtikisiko wowote kwa fisadi Lowasa na Genge lake, ni kwa nini sasa hamkai kimya na kumpotezea?
Ni kwa nini siku nzima JF yote imejaa habari kumhusu Mzee Slaa, kumkashifu na kumtukana?
Unawezaje kupoteza muda wako kumkashifu na kumtukana mtu ambaye hakuathiri kwa lolote? Ni kwanini Mbatia alienda kuongea na Wahandishi wa Habari? Ni kwa nini mnahangaika na kusema sijui mmeandika barua kwa Wazungu kumhusu Mzee Slaa na familia yake, sasa yote haya ni ya nini kama mnajua aliyoyasema hayajamuathiri fisadi Lowasa na Genge lake?
Huyo huyo Dr Slaa mnayemsifia leo ndiye yeye aliyesema mtoto wa Rais kakamatwa na madawa China na ndiyo maana Rais kaingia mikataba ya siri na Wachina. Kama kweli Slaa huwa anaongea ukweli? Je mbona hamsemi kuhusu kauli yake hiyo?
Lowassa kajibomoa mwenyewe kwa wizi wake...