Mi naona kama kuna aina ya udanganyifu imefanyika, labda anataka muavhane tuu may be kapata sehemu nuingine the best one compared to previous one, ila bro ww ni shujaa yaani mwaka 1½ hujaomba kumpaua?? Wakati wenzako siku hiyo hiyo akisema poa nmekubali lazma tuweke kumbukizi .....
Hebu...
Habarini Dr,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa za maumivu tuu.Na kuna kipind kinapotea kabsa na muda mwingine kinanirudia yaani hadi ninapoingiza hewa...
Hata mi before nilihis hivyo but walipopiga utra sound wakanambia hakuna tatizo kuanzia figo na hicho kidole tumbo na kwikwi ikinishika kinaniuma saana!
Habarini wapendwa,nmekuwa nikisumbuliwa na maumivu makali ya tumbo chini ya ubavu upande wa kulia nmeenda hospitali kadhaa nimepigwa ultra sound lakn wanasema hamna kitu,huwa naishiwa kupewa dawa za maumivu tuu.Na kjna kipind kinapotea kabsana muda mwingine kinanirudia yaani hadi ninapoingiza...
Walllah hivi tunakoelekea kubaya sana, ningekuwa mimi.siwez piga magoti kwa mwanasiasa ambaye ana cheo kwenye chama tuu nipo radhi kuwajibishwa!! Sio kumpigia magoti hao jamaa..... Iheshimu taaluma yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.