Habari Wana JF,
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo:
1. Awe Muislam mwenye kuifata dini yake angalau awe ana swali na kuvaa nguo za stara
2. Umri 20-30
3. Asiwe mrefu kunizidi, mimi urefu wangu ni (167cm)
4. Kama ni mfanyakazi basi awe mwalimu, vinginevyo awe mama wa nyumbani
Mimi sifa...
Nilisoma hii kozi miaka ya nyuma ,ki ukweli ni Changamoto sana.
1. Niliomba kazi ya ualimu serikalini kupitia TAMISEMI nikapangiwa kituo,baadae ikashindikana kuingia kwenye payroll kwa sababu professionally sio mwalimu.
2. Niliomba kazi moja ya taasisi za serikali kupitia sekretariat ya ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.