Recent content by msina700

  1. M

    Nimesikitika kukutana na nakala na cheti cha shahada ya Uhandisi kutengenezwa kifungashio

    Ndugu zangu naomba hiyo copy ya nakala iondolewe inatuletea taharuki wanandugu
  2. M

    Natamani kusoma IT lakini sina uwezo wa kusoma kwasababu ya uwezo

    Upo Mkoa gani mimi nitakufundisha IT Bureee
  3. M

    Wakenya wanasema wanatuadhibu, Hivi ni kweli?

    Jamani kwa kukataza magari ya Tanzania kuchukuwa watalii Jomo Kenyatta Airport ni kutupanishi kwa kutofungua mpaka wa Gorogojo, hivi hawa jamaa wanatoa wapi Jeuri hii? Kwanza mimi naona wanatunyonya tu, ni bora serikali ifunge Mipaka yote na hawa jamaa, kama connection ya ndege tutafanya...
  4. M

    King'amuzi gani naweza kuwapata WWE?

    Nyie watu Kuna channel nyingi sana tena hd malipo ni kidogo sana Ni PM nikuambie
  5. M

    Umepewa milion 20 utazitumiaje kwenye electronics chumbani kwako

    nipe kwanza uone nitachofanya:A S 39::A S 39::A S 39::A S 39:
  6. M

    hali ya hewa hapa MMU

    Acheni kuwataja baba na mama zenu kwenye upumbavu wenu wa matusi na ubishani wa kijinga, hao ni watu wa kuwaheshimu, Sio mtu akikusema au kukutania basi unakimbilia kusema "UKIMDHARILISHA MAMA BASI UMEMDHARISHA HATA MAMA YAKO, au UKIMDHARILISHA BABA BASI UMEMDHARISHA HATA BABA YAKO" Hiyo ni...
  7. M

    Mchungaji afufuka akiwa mochwari

    Duuu huyo mchumbajazi au mchujambazi, Ni mwehu sana deal za kizamani hizo, analeta zile za wasio na wachumba watke mbele yeye atawapatia uchumba na ndoa, sasa wanawake wameshituia hiyo kitu anaanza ya kufa na kufufuka aje afe hapa muhimbili aone cha mtema kuni
  8. M

    Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US

    Bora wanyongwe huko maana naona ni mpango wa mungu kupunguza mijjitu mijijnga
  9. M

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Je Katiba , The Big Mayayi, Makumbuka Obamka Mkakile , Mwakamyanda, Hot Bolt, Mukufuana Mukungeta, Kukile Southern Cross, Subira, Amina, Safina, Kule Ilagala Kulikuwa na mwarabu, na Arusha Dom Kulikuwa na Shaibu, Bile kusahau akina Apange na Kapane, Duu ukipata demu Mchaga kipindi kile alikuwa...
  10. M

    Bilionea mwingine Arusha akutwa kafa chumbani

    Bilionea gani anakuwa na mke wa mtu? Kajitakia mwenyewe nawasikitikia watoto wake na ndugu kama anao R.I.H Bilionea
  11. M

    Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    aahahahaaaa Huyu jamaa mbonge ya m bunifu yaani kaona bora kuchangisha hutu tufisadi tudogo twenye vigari kuliko kula hela ya mlala hoi ya madawa na vyandarua bigiiiiiiii bigiiiii upu akitoka aangalie namna ya kuboresha huo mradi, aufanye digital zaidi
Back
Top Bottom