Naombeni msaada wenu nautafuta wimbo huu wa DDC Mlimani Park

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Heshima iwe kwenu wana wa jf wenzangu naombeni msaada mwenye wimbo huu anisaidie siujui jina lake ila kwenye wimbo huo kuna maneno yanayoimbwa wanasema supu umetia nazi supu haitiwi nazi kiungo chake ni pilipili na chumvi tu.
 
Nenda You Tube tafuta nyimbo zote za DDC utaupata, just andika DDC list itakuja na utaukumbuka jina lake na kuanza kuselebuka nao
 
HIYO NYIMBO INAITWA Supu Umetia Nazi NA NDIO JINA LA ALBAM
ALBAM HIYO INA NYIMBO SITA
1.SUPU UMETIA NAZI
2.KING FISH
3.HESHIMA
4.FITINA
5.NJIWA MANGA
6.UPENDO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom