Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US

Mtanzania akamatwa na madawa ya kulevya US

Hayo ndio matokeo ya nchi kuongozwa na shetani badala ya katiba na utawala wakifalme... Tanzania wetu haukuwa hivi zamani.. hizi sifa mbaya zote zina saba bishwa na nin....???
 
mwache tu awe sentenced, na wengine wakipatikana wawe vivumishied au taaswirad. tumewachoka...
 
Hayo ndio matokeo ya nchi kuongozwa na shetani badala ya katiba na utawala wakifalme... Tanzania wetu haukuwa hivi zamani.. hizi sifa mbaya zote zina saba bishwa na nin....???


Hili suala la madawa ni tatizo la dunia nzima, tatizo vijana wetu wanaona kulima ni kupoteza mda matokeo yake wanajihusisha na biashara ya sembe. Zipo kesi amabzo zinatokana na uzembe wetu lakini hii nadhani haiko hivyo, hakuna ndege inayotoka kwetu kwenda US moja kwa moja labda za binafsi. Hii ndege imetokea Kenya.
 
Yani wanatia aibu hawa watu,wanafanya mpaka ukionekana na pspt ya TZ nchi zawatu wanakupekura kama nini..
 
Mimi naona ni biashara tu kama biashara zingine, kwani ina faida nzuri sana mfano yule jamaa kama angefikisha kilo 150 za sembe kwa wale ma-Mafia wa Italy angeleta dola nzuri sana sana tuneongeza magorofa tuachane na haya matembe na makuti
 
ukifungua iyo link mwishoni imeonyesha kua kuna watanzania wengine wameshakamatwa na walikua wanatumia njia kama iyo!!! hii inaonyesha ni wa tz wengi wanakamatwa uko.... ni muda muafaka kila mtanzania anayekamatwa atajwe jina!!
 
Bora wanyongwe huko maana naona ni mpango wa mungu kupunguza mijjitu mijijnga
 
Back
Top Bottom