Recent content by Msimbo Pau

  1. Msimbo Pau

    Hodi! Hodi! Jamani humu ndani!

    Karibu sana, jiskie huru
  2. Msimbo Pau

    Huyu ndio yule mwanafunzi alieandika mistari ya bongofleva kwenye mtihani wa form four 2011

    Dogo umefanya vizuri sana, huitaji kuwa na degree ili maisha yawe mazuri. Lakini pia usijione umetoka kwa kuimba pekeake. Hakikisha unajituma kujifunza kila inavyowezekana, katika kila pato unalopata tenga 10% for personal developments. HAKIKISHA UNAJIFUNZA KWELI NA UNAFANYIA KAZI. Ukweli ni...
  3. Msimbo Pau

    Makalio Mengine Bwana!

    Hahahaha... Kwa kweli duniani kuna mambo. Sikieni, huyo kama mzungu vile; hawa jamaa mimi nawakubali pale unapokuta mtu hana muda na ''abnomality'' yake na pia hakuna anayemuangalia makalio yake. Zaidi unakuta jamaa anakiss nae hadharani. Lol... Lakini huyu lazima alikuwa dereva wa malori ya...
  4. Msimbo Pau

    Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

    Mdau hapo umenena watu wengi-tena wengi sana-wanatangatanga kwasababu ya hizo imani zao wasizojua kuzitumia. Na, KWELI walichotaka ndo hiki tunachokiona NA WAMEFANIKISHA KWA KWELI. Watu wakiSOMA wakaanza kuiona Dunia katika pembe zaidi ya moja hakika HILI SIO SWALI LA KUJIULIZA WALA KUKUFANYA...
  5. Msimbo Pau

    Nataka kazi yeyote ila iwe ya ofisini

    Jomba mi napita tu...
  6. Msimbo Pau

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Dar es salaam ni uzushi tu bora nikaishi Arusha
  7. Msimbo Pau

    Lugha hii na mafanikio katika biashara

    Umeonaee... Mi bado nawaangalia tu, ndo nauliza nguvu yake nini na ina ukweli WADAU? ANZA NA RAFIKI ZAKO TU AU WW MWENYEWE KAMA UNABIASHARA.
  8. Msimbo Pau

    Lugha hii na mafanikio katika biashara

    Heshima kwenu WADAU: WADAU kimsingi tunajifunza kutokana na kusikia hasa pale tunapouliza. Kuna hili jibu ambalo kila mfanyabiashara akiulizwa analitoa-Popote pale:-luninga,ktk biashara, hata akitoka kuamka,n.k- ''BIASHARA NGUMU/HAILIPI'' siku akijitahidi saana anasema ''Aah hivyohivyo tu...
  9. Msimbo Pau

    Hivi mnajivunia kuwa watanzania au mnavumilia kuwa watanzania?

    Huitaji kufika darasa la saba kujua ukisikia njaa unatakiwa kula lakini sio kula kinyesi.
  10. Msimbo Pau

    Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

    Sikilizen WADAU hakuna kusema SWINE, PIGS AU HOGS ni wabaya sikiliza kipindi kila cha kuandikwa QURAN na BIBLIA nguruwe walikuwa wanaswagwa kama ng'ombe-umasaini. Sasa leo umemfungia ndani anapewa pumba na mabaki ya chakula cha nyumbani hayo mauchafu anayala wapi? AU NA MFUGAJI ANAENDA...
  11. Msimbo Pau

    Zaidi za kutafsiriwa...asanteni wote mnaokubali kunisaidia

    Naam, lakin huwezi kuung'oa na kwenda kuupanda pengine hasa kama umeshakomaa. *Maana ya ''mchicha'' ni ''vema au vizuri''. *''kundishwa'' nadhani ilitakiwa kuwa ''kurudishwa'' maana yake ''umeme upelekwe tena mtwara''. *Maana ya ''mitambo ya umeme'' ni ''mashine za...
  12. Msimbo Pau

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    nukta ni uwezo wakufikiri wa hao jamaa-hapo juu-walio haribu mtiririko wa huu mchezo kwa kuanza na neno ''mawazo''
  13. Msimbo Pau

    Hodi wakuu

    Tayari MDAU, pamoja sana
  14. Msimbo Pau

    Hodi wakuu

    Nashukuru
  15. Msimbo Pau

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    kuwapiku ni ngumu maana wana uwezo
Back
Top Bottom