Recent content by Msimamoo

  1. Msimamoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitoto cha 2007 kimenitumia kimemo nikivishe pete!

  2. Msimamoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Singo maza wa dodoma anatafuta mwenza

    mwenye huyo mtoto yuko wapi?tuanzie hapo kwanza
  3. Msimamoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natongozwa sana na wakaka wa Kikurya. Tatizo litakuwa wapi?

    Nimekumbuka broo
  4. Msimamoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu ananilazimisha nifute picha za x wangu

    Amesema tuligombana na baadae kupatana labda kama mimi ndio sielewi maana ya kupata🫡
  5. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Familia ya Nigeria ulivyoishangaza Sayansi

    Nimesikitika kuona kichwa cha habari ikisema muujiza,hiyo ni mpango wa baba na mkewe au baba kachapiwa hiyo ndio nadharia kubwa hapo
  6. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kujaza vocha Bila Kukwangua

    Kuna watu wapo uraiani wakati vyumba vyao vinapulizwa na upepo uko hospitali kuu Dodoma
  7. Msimamoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupia hapa maneno mazuri ya kumwambia umpendae

    Mwambie mwamala haujasoma mda mrefu🫱🏻‍🫲🏽🫱🏻‍🫲🏽
  8. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mtu anapaswa kuwa uchi ili apigwe x-ray?

    Ugonjwa ndio iliyosababisha uwepo hapo kwaiyo swala la ulazima au siyo tii shart la daktari mke apone
  9. Msimamoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto ni ipi hasa inayofanya vijana kusita kuoa au kuolewa?

    Binafsi ninaona kuna mifumo mbalimbali ambazo tumejengewa haswa kwenye dini,serekali kwa maana ya mfumo wa elimu,jamii vilevile,ambazo zinamfanya kijana apoteze muda mwingi bila kutafakari maisha ya kujitegemea hivyo mpaka awe na umri wa miaka 25+ hapo aanze kujitafta anajikuta yupo 30 kuendelea...
  10. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    J moo sasa,kwenye wimbo wake kama unataka dem alivyoflow sifa za hawa mabint wa enzi hizo utatamani uwepo
  11. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Ila mwana umecoment mistari wa hatari kwenye wimbo huu big up
  12. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Mwinyi ndiye Rais bora kuwahi kutokea katika Taifa hili, anaondoka wala hatuna kinyongo nae

    Ngoja kwanza udini ukiisha utajenga hoja nzuri
  13. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Mawazo ya kimalaya mno,hivi wanawake hawa hawa au unatakuwepo wengine wapya???
  14. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania JF Hustlers pita hapa kabla ya kuanza mishemishe za siku na baada ya kumaliza..

    Rizki zipo miguuni,twendeni mahustlers tukapambane
  15. Msimamoo

    JamiiForums Tanzania Hivi hatuwezi kuwa na Rais msabato

    Ili nini? Kwasababu hujatoa hoja yenye kutetea huwo usabato wako..lakini pia siasa mbona ni zile zile
Back
Top Bottom