Recent content by Msigazi Mkulu

  1. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Kati ya NIT na MUST niende wapi?

    DIT wamenifurahisha sana, hizi jumbe nimezizoea kwenye maombi ya kazi, nikipokea email nikaona inaanza na neno Thank you for your interest au Unfortunately........ huwa sijisumbuagi kufungua email, moja kwa moja najua nishapigwa tayari
  2. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi kama kajichanganya vile , this goverment will collapse in 3 - 4 years

    Sawa mnufaika, ila usiwabeze sana ambao wako nje mfumo. Wewe kula vimba tumbo ukapigwe paipu vizuri.
  3. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Sehemu za makazi zilizoendelea kwa kasi Kanda ya Ziwa.

    Mwanza na Katoro- Geita
  4. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Wana akili, wanatambua kuwa dini utapeli mkubwa hata na wenyewe wanahutumia kutapelia ndo maana wengi wanasomea upadri na uchungaji ili wawe kwenye nafasi za unyonyaji wengine na si kunyonywa na pia kama ni mkristo wa kawaida lazima awe kwenye nafasi za uongozi kama mwekahazina, mzee wa kanisa...
  5. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Dini imekuwa ulevi ambao serikali imeufumbia macho, watu hawafanyi kazi kila muda ni maombi.
  6. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Sativa: Bila video kusambaa mtandaoni mngekaa kimya na hii taarifa ili mfanye vile mnafanyaga siku zote?

    Mtendaji wa kijiji na wa kata nao ni viongozi au watumishi?
  7. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Usikurupuke kuoa tena haraka. Hawa viumbe sio kabisa
  8. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Msemo usemao 'Christopher Columbus aligundua Amerika'ufutwe mara Moja na usitumika wakati wa kuwafundisha wanafunzi wa Tanzania

    Wewe ndo huna unachokifahamu. Kugundua ni kuona kitu na kufanya ulimwengu wote ukifahamu. Asingeenda kule kufahamisha ulimwengu kuwa kuna bara la America au kuna mlima Kilimanjaro, wewe ungehufahamu lini?
  9. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mungu aliumba vimelea vya magonjwa kama EBOLA, UKIMWI, KANSA, MALARIA ambavyo vinaua mamilioni ya watoto wadogo wasio na makosa yoyote?

    Ili kuleta balance ya population. Wewe unataka mzaane tu bila kupungua?
  10. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Papa mpya Robert Prevost kachaguliwa kimkakati

    Acha kuongea mambo kwa kufuata mkumbo, ushoga una hatahari gani kwenye maisha yako ya kila siku mpaka ushupaze shingo? Wanaume wote wakiwa marijali wewe utawatafutia k..ma?
  11. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

    Mwenye kujua kwa nini anatajwa makamu wa kwanza wa Rais atuambie?
  12. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

    Hata kama hakuna kabila la wachaga Kenya, ila asilimia kubwa ya wakenya wanafanana kitabia, kimuonekano na mfumo wa maisha kiujumla. Most Kenyans are hardworking just like Chaggas in Tanzania. Hawana uswahili wa kupenda kuongea ongea sana.
  13. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha leo kisingeweza kumtoa mkoloni nchini,Tanzania ingekuwa ya mwisho kupata Uhuru

    Hakuna mwafrika aliyemtoa mkoloni. Yeye ndo aliamua kwenda.
  14. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

    Kwahiyo ni unataka kusema uisilamu ni dini isiyopenda haki? Kinachopiganiwa ni haki wala sio udini. Nyie mnaosema hivyo ndo wading.
  15. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

    Nisaidie kupata AI app ya bure
Back
Top Bottom