Recent content by Mshuwa

  1. M

    Msaada wa kuaunlock samsung T S5300

    Wakuu naomba msaada wa kuaunluck simu yangu ya imejilock baada ya kubonyeza pattern zaidi ya mara tano.na kila nikijaribu inaniomba kuweka gmail account yangu ambayo siikumbuki.leo napokea simu yoyote ninayopigiwa ila mimi siiwezi kusoma wala kupiga.
  2. M

    Kwa Maelezo Zaidi Ni PM

    unatafuta mwanamke au mwanamkwe???????
  3. M

    Asante JF Founder

    Asanteni Jf founder kwa kunikutanisha with woman i have been dreaming to be with. A woman who knows how to put down her education level, her family wealth, her job title, her beautness, her level of income to maintain friendship. A woman who knows that no one is perfect but who beleive that...
  4. M

    Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

    mie sipo hivyo cheki pm yangu!!!!
  5. M

    kampani please mlioko mwanza.!!!!

    natarajia kuwepo mwanza tarehe31 mwezi huu kwa siku tatu..please member yeyote aliyoko pande hizo nahitaji kampani yako ya hali na mali.
  6. M

    Taarifa ya kutengua ndoa kati ya manoah na ciello

    mhhhhhjjhj kumbe""!!!!""!!
  7. M

    Ipo Morogoro hii... Dar mnayo?

    half london lodge maeneo ya bigwa kuelekea chilakale
  8. M

    Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    Nashukuru sana kwa kupata nafasi hii tena ya kuongelea juu ya polisi.Aliniambia hivi baada ya kuwa amerudi kutoka dar wiki ya tano alifikia kwao hivyo kesho yake akatoka kazini na kuja nyumbani kwa mumewe alipofika akapigiwa simu mumewe aliye kazini na kuambiwa kuwa mkeo yupo nyumbani nikasema...
  9. M

    Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    coment zako zako zina njia mbili zisizofana ila kesho nitakuja na majibu yote ya unachokisenma na kwa kuwa ni mwanamke utajigundua kuwa mpaka unafika hapo mama yako na baba yako wana elimu kuliko uliyonayo kwenye mambo ya mahusiano kama kweli umelewa kinachomhusus rafiki yangu. nitakuja na...
  10. M

    Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    nitakuja na upande wa pili wa shilingi kesho kwa kuwa ndugu yangu hajui kama nimeamua kuomba ushauri huu kwenye mkusanyiko wa watu wasiowaona. ila leo nilikuwa na maongezi na upande wa pili wa shilingi.
  11. M

    Ushauri wa ndoa hizi za kanisani!!

    Wakuu heshima Kwenu wote. wakuu nimeleta maada hii kutokana na yaliyomkuta rafiki yangu wa karibu aliyefunga ndoa mwaka 2008 na sasa anateseka nayo baada ya mke kuondoka na kurudi kwao na kupokelewa kwa furaha na upendo. hii imeshitusha kwa kuwa nami nilikuwa nikiwa kwenye mchakato wa kutafuta...
  12. M

    Wadada wa Jf are you real serious kwenye mahusiano????????

    baada ya kujibu post za wadau napenda kusema asanteni wote kwa michango yenu na nawatakia alhamis njema
  13. M

    Wadada wa Jf are you real serious kwenye mahusiano????????

    kwa lipi nijipange ndugu yangu telitaibi? soon nitaweka yaliyotakana na mada zangu zote mbili...ila hata ujumbe wako una maana
Back
Top Bottom