kampani please mlioko mwanza.!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kampani please mlioko mwanza.!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshuwa, Oct 28, 2012.

 1. M

  Mshuwa Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  natarajia kuwepo mwanza tarehe31 mwezi huu kwa siku tatu..please member yeyote aliyoko pande hizo nahitaji kampani yako ya hali na mali.
   
 2. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Karibu sana utatukuta tumejaa tele
   
 3. Kiba

  Kiba JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 453
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  tuje na magari au dala dala gawiza.
   
 4. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 8,634
  Likes Received: 2,063
  Trophy Points: 280
  Mkumbuke kujipanga na matawi ya miti na maua barabarani sasa sijui ataingilia na flight ili wananchi wa Airport, Ilemela, Pasiansi, Nyamanoro kuelekea mjini wajipange barabarani na matawi ya miti na mau kusubiri mgeni huku vikundi vya ngoma vikuburudisha
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,746
  Likes Received: 12,825
  Trophy Points: 280
  Utanikuta mwaroni!
   
Loading...