Recent content by Mshirika

  1. M

    KKKT : Maaskofu hatujagawanyika kuhusu Katiba

    Ni kweli ili kupata kitu kizuri lazima kichwa kisiwe cha nywele tubali kifanye kazi yake na ikiwezekana kazi ya ziada. Tukidgahitambua na kutambua mchakato uliotumika kupata katiba tutapata jibu wakati wa kura ya maoni
  2. M

    TANZIA Dr. Sengondo Mvungi afariki Dunia

    Mungu ifariji familia na marafiki wote
  3. M

    Hivi Ndivyo Watoto Watakavyozaliwa Miaka Ijayo

    Tumeiona digital
  4. M

    5 gb ya vodacom vs 5 gb ya Airtel

    Nakubali Airtel 3G iko mpaka wilayani. Niko Same natumia 3G AIRTEL. Ila nikienda kijijini VODA INA SPEED KULIKO AIRTEL
  5. M

    Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta

    Nikitaka kuongeza ram zinapatikana wapi. Nina laptop 786 ram vista 32 bit. Nataka niongeze ziwe 2GB. Sasa hivi iko slow sana
  6. M

    Nimechoka na King'amuzi

    Je nikiwa na decoder mpg2 sitapata hizo channeli. Nilikuwa nimeseti nss12 lakini k24, Kbc na family sasa hazitoi picha wala sauti
  7. M

    African Satellite World and Sat Gear

    Hi guys, is it possible to get Amos 5 degr 17 using 90cm dish and decoder mediacom 930 in TANZANIA OR KENYA
  8. M

    Help help please,satellite amos 5,eutelsat 16a.

    Je ninaweza pata Amos 5 degr 17 kwa dish la 90cm na decoder mediacom 930
  9. M

    TBC1 haipatikani tena ukitumia Ungo?

    Kwa hiyo kupata AMOS 5 kwa mediaCom decoder 930 ni ngumu?
Back
Top Bottom