Hahahah...namsubiri wa kwako na wa mimi49
Lakini watoto watakuwa matahira!Mmh jaman maisha yatazid kuwa marahic kwa kina mama
Bora mkuu,hii ni kumkufuru mungu wa kweli!Hahahahaha wangu atazaliwa kawaida inshaallah
Ha ha ha wangu kajaa tele kapitia njia ya kawaida lol!!!Hahahah...namsubiri wa kwako na wa mimi49
Ha ha ha wangu kajaa tele kapitia njia ya kawaida lol!!!
Ehhh future supermodel!!Talents zinajionesha mapemaaa!!Kwa raha zake na anavodeka basi na mapozi yake kama mwanamitindo mwenyewe..