TBC1 haipatikani tena ukitumia Ungo?

TBC1 haipatikani tena ukitumia Ungo?

kwa wale wanaoipenda tbc au wanataka balance ya habari sina uhakika inasemekana receiver aina ya mediacom haina uwezo wa kuidaka tbc. gulfstar na strong zina uwezo pamoja na urekebishaji dish. all in all signal zao ziko low. naendelea kuipata na star tv, itv, channel ten, citizen ya kenya nakadhalika
 
Kwa sababu wanaozijua wao Tbc wameshusha Signal za cband . Kwa bahati mbaya wengi wetu tulikuwa tunapata local chanels kwa kutumia dish la futi sita !
kuna options kama mbili ninazozifahamu kwa wenye kutaka kuona Tbc na local tv kwa sasa ;

1: nunua dish la futi nane au zaidi ili uweze kupata signal hizo hafifu za TBC kama bado unataka kutumia receiver uliyonayo, most likely itakua mpeg2 Dvb au

2: nunua mpeg 4 receiver na dish la ku (90cm linatosha sana) utazipata tbc itv star tv na channel ten kwenye satelite eutesat 36 °E au newdawn 32.9°E

Option ya pili ni ya gharama ila it seems ndo tunakoelekea kiteknolijia!
 
Back
Top Bottom