Recent content by Mshirazy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete azindua Sera ya Elimu na Maabara

    Utalipa ww mzazi!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

    Yeah unaweza, mfuko mzuri ni PSPF na LAPF
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhujumiwa kwa ITV katika king'amuzi cha STAR TIMES Dar

    kwanini ITV ihujumiwe kupitia king'amuzi cha Star Times tu?? Kwanini hujuma hizi zisingefanywa kwenye ving'amuzi vyote ambavyo ITV inaoneshwa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania kipi muhimu?

    Fedha kwanza, ili ukipata mtoto Uweze kumpa malazi bora!!!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, kwani lazima?

    Tuendelee na hadithi yetu tafadhali!!!!
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, kwani lazima?

    Daaaah!!! Paulina kagawa papuchi kwa vidume vinne lkn kazaa chura mfu!!!!! Ila ni uzembe kukubali kusaini yale makubaliano na baba riziki
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama watu wazima mtatumaliza

    UDSM hakuna coz ya pharmacy bana, kwani kuna sehem amesema yeye ni mwana chuo wa udsm???
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shule za kata bado hali ni tete!

    Serikali imeban watoto waliomaliza kidato cha nne kusomea uwalim wa primary??? so wale waliomaliza kidato cha nne na kuchaguliwa kwenda kusoma diploma in primary education mwaka huu ilikuaje???
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ma-handsome hawana lolote kitandani

    Atakuwa ni KE tu:teeth:
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaosafiri sijui huu ni ushamba?

    Kwani kila mtu anatumia smart phone au???au hujui kua wengine wanatumia nokia kitochi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Taswira ya Mbagala

    Viwembe vya mbagala ni vya aina gani mpaka kiwembe kimoja kiweze kunyoa vichwa vitano???
  12. M

    JamiiForums Tanzania Pinda akubali kujiuzulu jioni hii

    Ndugu acha kuharibu lugha yetu adhim ya Kiswahili!!!!:teeth:
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa polisi na walimu laki 2 kwa mwezi, sisi BMK tunapiga laki 3 kwa siku

    hakuna mwalimu anaelipwa laki 2 kwa mwez!acha unafiki kijana!hata hivyo,kwan anacholipwa slaa na mbowe ndicho unacholipwa wewe?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kudharau wanaosoma vyuo tofauti na UDSM

    Kwani huwez kudanganya juu ya hili?tutaamini vipi kua ni kweli hakuna wa UDSM?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Walimu watishiwa kufukuzwa kazi wasipotoa tsh. 15000 ya mwenge

    so wanaoambiwa kuchangia hiyo pesa ni walim tu?watumishi wengine hawajaombwa huo mchango?
Back
Top Bottom