Recent content by Mshilu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwani wazungu wana nini ambacho waafrika hatuna: What is the missing link?

    Lakini pia Dr James Watson aliwahi kutoa ushahidi wa kisayansi kuwa; Watu weusi tuna akili pungufu kuliko weupe. (Blacks are less intelligent than White) Pamoja na kwamba huyu Dr. Alishambuliwa sana na watu weupe, ajabu weusi wengi walikunaliana na hoja yake.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wajuzi: Ni kweli treni ina sumaku ya kuvuta gari linapopita karibu yake au ni hofu ya dereva?

    Kama wengine walivyo elezea, hakuna usimaku hapo; Kwa lugha nyepesi, ni kwamba, kwa sababu ya umbo kubwa la gari moshi linapotembea linazoa hewa nyingi eneo linapita hivyo kusababisha nusu ombwe "partial vacuum" ambayo inabidi ijazwe, hivyo basi, kitu chochote kilicho karibu na eneo hilo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

    Mkuu, samahani sana, somo lako ni tamu sana, Mimi binafsi napenda kujua zaidi na majua unayo mengi ya kutufundisha hapa. Lakini baado swali langu; Je ni nini kinachofanya sisi tushindwe kufanya hayo? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Israeli Hawajawahi Shindwa!...?

    Nimependa sana maelezo yako. Ni mazuri sana tena sana. Lakini naomba ufafanuzi pia kwa faida ya Watanzania wengine. Je ni sababu zipi zinazotufanya sisi Wafrika tushindwe kujitambua sawa sawa na hao uliowataja? Au ni kwa sababu tunapenda kuwa hivyo tulivyo, ili tuonewe, tubagiliwe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Ahsante kwa Sara mzuri
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mkuu, ngano ya siku 6 inakuwa fupi au kwa sababu situmii nutrition?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikao cha gafla jumba la Malkia UK

    Mkuu, ahsante kwa elimu hii.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mkuu naomba Msada. Hydroponic yangu nilipanda ngano, baada ya siku 8 niliwapa kuku wa nyama wa wiki 2 ajabu waligoma kabisa kula. Inaweza kuwa sababu gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mandhari amazing kijijini Nyumbani kwa Prof. Mwandosya

    Alikufa Mkuu. Alikuwa anaitwa Jugen Schuller na babu yake alikuwa Mwakapalila kutoka kijiji cha Mwakaleli
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Tafauti iliyopo kati ya MJINGA na MPUMBAVU: MJINGA anajua kwamba hajui, MPUMBAVU hajui kwamba hajui. Ahsante sana mleta uzi huu, kwani umetupambanua wazi ni wapi tupo katika makundi hayo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni nini tofauti ya speed katika vyombo vya moto

    Hili linaeleweka zaidi kuliko lile la gari na pikipiki. Karibuni pia kwenye hili tutoe povu midomoni.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

    Mkuu nahitaji shayiri. Naweza kupata?
Back
Top Bottom