Kikao cha gafla jumba la Malkia UK

dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,332
1,375
Wakuu Sana.

Leo nimesoma baadhi ya habari kutoma kwa vyombo vya kimataifa hasa uingereza na Habari nayoona imepewa uzito ni kikao cha gafla cha wafanyakazi wa Malkia wa Uingereza katika moja ya majumba ya kifalme na kimalkia.

Umbea wa mitandao unasema huenda labda Afya ya Malkia imezolota na zaidi wengine wanakufuru kusema amekufa ile hali taarifa kamili bado haijatufikia.

Nawasilisha kwenu tupeane updates.

Cc. TUJITEGEMEE
Mag3
Nguruvi3
The bold.
 
Mkuu dtj

Kwa kadiri nilivyofuatilia, Malkia Elizabeth bado yuko hai... Muda mchache uliopita (kama nusu saa hivi) ameonekana akiwa akiwa anahudhuria shughuli maalumu eneo la Chapel Royal, iliyopo St. James Palace... Shughuli hiyo ni kwa ajili ya wanachama wa Order of Merit..

Labda habari kubwa kwa sasa kuhusu Royal Family, ni kutangzwa kwa kustaafu kwa mumewe Malkia (Prince Philip) kujihusisha na shughuli za umma za kitaifa ili aweze kupumzika (ana miaka 95).

Ni hilo tu mkuu kwa sasa, tutajuzana kama kutakuwa na update yoyote nyingine..
 
Asante, Mkuu sana, The bold.

Swali!

Kwann bado Mume wa Malkia (Prince Philip) anaitwa Prince ili hali ni Mume wa Malkia?

Kama kuna andiko ambalo umewahi kuelezea kinaga unagaubaga kuhusu tawala za kifalme na kimalkia naomba uniwekee link nikajisomee lakini pia Kama Una site unaweza kunidirect nikasome itakua sawa Sana.

Natanguliza shukrani kwako.
 
Kiheshima zaidi anaitwa Royal Consort. Kwa vile yeye ameoa tu hawezi kuwa King kwa mujibu wa taratibu za kifalme. Hata wewe Mangi huwezi kwenda kuoa kwenye pesa halafu ukataka kuleta za kuleta ukweni....unatulia tu ukisubiri kutumwa errands
 
Kiheshima zaidi anaitwa Royal Consort. Kwa vile yeye ameoa tu hawezi kuwa King kwa mujibu wa taratibu za kifalme. Hata wewe Mangi huwezi kwenda kuoa kwenye pesa halafu ukataka kuleta za kuleta ukweni....unatulia tu ukisubiri kutumwa erands
Mkuu Sana mfano wako nimeuelewa Sana.

Sema tafadhali shusha darasa la hizi tamaduni za kifalme.
 
Bila shaka Malkia wa Uingereza anataka kukabidhiwa report ya Marais wa Afrika (Commonwealth presidents with fake academic certificates) i.e waliogushi vyeti vya kitaaluma.

Ila mkuu the bold na safar ni safari mmedadavua vema hoja iliyopo hapa jamvini.
 
Kiheshima zaidi anaitwa Royal Consort. Kwa vile yeye ameoa tu hawezi kuwa King kwa mujibu wa taratibu za kifalme. Hata wewe Mangi huwezi kwenda kuoa kwenye pesa halafu ukataka kuleta za kuleta ukweni....unatulia tu ukisubiri kutumwa erands
Umeieleza vizuri sana mkuu
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kiheshima zaidi anaitwa Royal Consort. Kwa vile yeye ameoa tu hawezi kuwa King kwa mujibu wa taratibu za kifalme. Hata wewe Mangi huwezi kwenda kuoa kwenye pesa halafu ukataka kuleta za kuleta ukweni....unatulia tu ukisubiri kutumwa errands
Nimejifunza kitu hapa mkuu, asante.
 
Safari ni safari.

Tuambie kuhusu hawa;

1. Duke
2. Arch Duke
Uingereza kwa sasa haina Archduke, nchi kama Austria na Prussia enzi zile walikuwa na hii title.. na mara nyingi ilikuwa inashikiliwa na Heir apparent (Mrithi wa kiti). Na Archduke simply ni head of all dukes... Refer Archbishop.

Pia title ya Duke ni equivalent na Prince, ingawa Prince ni wale waliotoka kwenye Royal family tu.. ndio maana Uingereza Princes wote pia ni Dukes.

Duke ambaye siyo Prince anaitwa Peer, na anatoka katika Noble family (familia ya kiheshima).. sio Royal family.

noble families zinahold titles nyingi.. kwa uingereza zinakuwa chini ya familia ya kifalme na zinaitwa peerage families..

Ranks zao ni..

1. Dukes and Duchesses
2. Marquess and Marchioness
3. Earl/Count and Countess
4. Viscount and Viscountess
5. Baron and Baroness

Hao hapo juu ni wale ambao wanarithi hizo title (hereditary peerage), nikimaanisha ikiwa baba ana title ya Duke, akifariki mtoto anairithi na hii huendelea kwenye familia vizazi na vizazi.

Kuna wale wanaopewa heshima na Malkia au Mfalme lakini hairuhusiwi kurithisha title yao kwa watoto.. na wengi wanakuwa na title ya LORD au LADY na vilevile BARON au BARONESS.. refer Margareth Thatcher alipewa title ya Baroness.. so jina lake lilikuwa Baroness Thatcher.

Kuna pia hawa Knights, hawa hupewa heshima ya Maisha na Malkia au Mfalme lakini hawapo kwenye hili kundi la Peers.. Knights huwa na title ya SIR na baadhi ya watu maarufu kama Elton John na Richard Branson wanayo hii title.

Kama una swali lolote uliza..
 
Mkuu, ahsante kwa elimu hii.
 
Kiheshima zaidi anaitwa Royal Consort. Kwa vile yeye ameoa tu hawezi kuwa King kwa mujibu wa taratibu za kifalme. Hata wewe Mangi huwezi kwenda kuoa kwenye pesa halafu ukataka kuleta za kuleta ukweni....unatulia tu ukisubiri kutumwa errands
kuoa kwa wenye nazo ni kujitoa mhanga
 
Back
Top Bottom