Recent content by mshewa2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Habari Naomba msaada wako mimi nimeagiza mara mbili, mzigo unaonekana umefika Country of destination ila sasa haunifikii nimetumia namba ya simu ya physical adress sikuweka sanduku la barua. Nafanyeje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Nimeanza kusoma kitabu cha "The wealth Gardener"baada ya kuona kuna mdau alikuwa anakiomba sana. Jana nimeanza leo nimefika page 65. I must admit nimekipenda kitabu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Hivi kipi ni kizuri kusoma hardcopy or softcopy? Nimeanza kusoma vitabu mwaka jana na napenda kujijengea hii tabia imenisaidia sana. Hivi hardcopy mnanunulia wapi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kienyeji yanauzwa

    Unapatikana wapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mafriji used yanauzwa

    Naomba namba nije hapo niko maeneo ya kijichi Neluka.Nataka oven hope utanipunguzia kidogo
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji amembaka msichana wangu wa kazi

    Asanteni wote kwa Ushauri wenu.tumeliongelia jana wote na tumefikia muafaka Shemeji ameondoka leo ila tutaendelea kumsaidia akiwa huko huko nyumbani.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji amembaka msichana wangu wa kazi

    Msichana ana 16 na mvulana ishirini
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji amembaka msichana wangu wa kazi

    Ilikuwa jana tulikuwa tumeenda kazini wote amebaki yeye mwanangu mdogo kama mwaka hivi.According to huyo msichana mtoto alikuwa amelala akamaliza kitandani kwake na yeye akaenda chumbani kwake kulala kuhamaki unashangaa mtu yuko juu yake alijaribu kupiga kelele ila alimziba mdomo akamzidi nguvu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa yaanza Kurasini shimo la udongo kupisha muwekezaji

    Sidhani kama ni kweli mimi nilikuwa naishi kurasini mwenye nyumbani wangu alipewa mil 200 hivi zilikuwa nyumba mbili afu Akasema hazitoshi wakapeleka malalamiko waongezewe yaani walikuwa wanatest tu kama hataongezewa ila hakuna mkazi wa Kurasini ambaye hakulipwa ila haturidhiki na tunachopewa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    iwe maeneo ya Mwenge au survey,kijitonyama,kinondoni ,laki tatu na nusu ,three bedroom,parking na maji yawepo.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bank gani Tanzania inatoa Online Services nzuri?

    BancABC wala huhitaji kuwa na account unajaza tu form kwa ajili ya visa card unapata card the same day unatakiwa tu kuwa na kitambulisho na elfu 5000
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kuku wa kienyeji

    Unayo?unapatikana wapi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kuku wa kienyeji

    Jamani naomba kujulishwa wapi nitapata mayai ya kuku wa kienyeji na bei yake ikoje?niko dar Asanteni
  14. M

    JamiiForums Tanzania Satelite dish Vs antenna

    Jamani naomba kujuzwa nimenunua kigamuzi cha star timez afu nina dish kwangu naweza kuunganidha kwa dish badala ya antena?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Toyota starlet for sale

    Nop hiyo bei hailipi ndugu
Back
Top Bottom