Recent content by MSHAURI_WA_NCHI

  1. M

    Tuepuke sumu hizi: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena

    Mnataka tujadili udini kwa manufaa ya nani? Waafrica ni kama tunalaana vile. Badala ya kujadili maendeleo ya watu wetu mnataka tujadili udini Ili tulete vita tuuane wenyewe kwa wenyewe. Tuache upuuzi huu wa udini.
  2. M

    Magumu ya Kikwete miaka 10 ya urais

    Mwacheni apumzike
  3. M

    Nyerere: "Mgodi" ambao haujaguswa

    Umenena vyema mkuu. Ni lazima JPM afike mahala achore mstari wa ya kale na mapya. Aanze kutafuta njia mpya za kuujenga uchumi mpya wa nchi yetu kwa kupokea na kuyafanyia kazi mawqzo mapya ya wazelondo. Kuwepo Na forum ya kuzungumza Na wananchi watoe mawazo mapya Na sio yeye tu kuzungumza Na...
  4. M

    Kagame: Tanzania kufanya biashara na Rwanda inatupa amani

    Kagame ni dikteta kama magufuli. Lakin kwakuwa si CCM basi ni kiongozi mzuri.
  5. M

    Naomba Tundu Lissu unijibu haya maswali...

    1. Tueleze ni nchi gani Duniani inaongozwa na kauli toka kwa watu wengi? 2. Ni nchi gani Duniani yenye Utama uni huu mpya wa kudharau mkuu wa nchi ukaachwa Bila adhabu? My take: Hekima, busara na adabu kwa viongozi wako hate kama huwapendi ni jambo jema Sana. Kwa mstaarabu.
  6. M

    Mawaziri Wakuu, yupi alikuwa bora kuliko wote?

    Mjadala huu ni mpana sana kwani kila mmoja wao ana merits na demerits zake kama tunaweza pata jf thinker mmoja akawachambua vema strengths and weaknesses zao itakuwa ni msingi mzuri. Kwangu napenda niwatambue mawaziri wafuatao Kwa mchangowao chanya ktk Ujenzi Wa taiga letu. 1. Mwl Nyerere 2...
  7. M

    Natabiri Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na Magufuli kutawala kwa miaka 5 tu

    Mnaota ndoto nyie. Lowasa kushiney kwa upotoshaji walioufanya kwa watanzania yeye na kingunge na sumaye kuwa ccm haijafanya lolote toka nchi ipate uhuru, wasahau kabisa suala la ccm.
  8. M

    Kinachoendelea Uingereza ni dhahiri Mwl Nyerere ataendelea kuishi

    Mtu yeyote mwenye mawazo chanya hatadharau muungano Ila kwa mtu mwenye mawazo hasi na dhaifu hatathamini na kudharau muungano. Muungano siku zote ni kitu chema.
  9. M

    Bunge lapitisha sheria ya kuanzishwa mahakama ya ufisadi

    Sina hofu wataanza na waliolifikisha taifa hapa tulipo. Tunawajue na wamekuwa wakilifarakanisha taifa kwa wizi mkubwa was fedha za umma na kulazimisha madaraka kwa kununua watu. Tuanze nao bila aibu na wafungwe na Mali zao zibinafshwe ikiwemo majumba waliyionunua ulaya kwa Mali za wanyonge.
  10. M

    Vyeti feki ndivyo vinasababisha Taifa lisiendelee

    Mkuu mtaje tu mtu anaekusumbua mwenye cheti Feki. kuliko kuifanya nchi yote inavyeti feki kama vile vyuo vyetu havijawai kufaulisha wasomi. Tuwe wenye staha kwani mjadala was vyeti feki unachukuliwa kana,kwamba taifa haljawahi ajiri wasomi toka lipate uhuru. Sasa hawa ma Prof na Dr wanatoka...
  11. M

    Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Hawa Ghasia akataa wabunge kukatwa kodi ktk kiinua mgongo

    Mm ni mwana ccm kwa suala hili amenichefua sana. Ameifanya jamii yetu ya kitanzania idharaulike sana kwa uchafuzi aliyoufanya nchi nzima kujiandika barabarani kwa mikaa na rangi. Nawadihi wenye mtazamo kama huu waache kwani in ushamba na sio ustaarabu pia imedhihirisha tamaa ya kupenda madaraka...
  12. M

    Sababu kubwa iliyomnyima Lowassa Urais wa Tanzania !

    Daaah! Umenikumbusha ule wimbo wa Malofa na wapumbavu ulioimbwa na Ben Mkapa.
  13. M

    Ni lini Edward Lowassa ameteuliwa na kuthibitishwa kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA?

    Mzungu anausemi mzuri sana unaosema "Don't argue with a fool". Kwa Tanzania yetu tumeshawajua fool ni nani kwa wale msiojua, mheshimiwa Mkapa alishawataja malofa na wapumbavu katika nchi hii basi tusibishane nao. Mwisho wake hata sisi wenyeakili tutakuwa wapumbavu.
  14. M

    Prof. Political scientist kumuita Rais Magufuli fascist, kuna tatizo chadema!

    Dr. Slaa alishamdharau Prof. Baregu Siku nyingi sana mara tu alipoyapokea matapishi ya ufisadi toka ccm Mwaka Jana na kuyakumbatia pale ndipo heshima Yake ya uprofesa ilipokoma. Poleni kwa wale mnaomwamini.
  15. M

    Nchi zenye nguvu za kijeshi zaidi Afrika!

    Uongo wa mpita Njia so ukweli wa mwenye nyumba
Back
Top Bottom