Nchi zenye nguvu za kijeshi zaidi Afrika!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Wakuu heshima kwenu!

Najaribu kuangalia vigezo ambavyo hutumika kuangalia sifa za nchi zenye nguvu za kijeshi hususani huku kwetu Afrika nashindwa kuelewa ni kwanini silioni taifa langu hasa kwa rekodi ya mwaka 2015, nimeangalia hata top 20 sijaona!huenda kama kuna upendeleo kwa mataifa mengine kama Misri,Ethiopia,S.Africa, Nigeria,Algeria,Morocco, Kenya,nk.

Nje na bajeti zinazotengewa taasisi za kijeshi na mataifa husika, Mikiki mikiki ya usumbufu kupambana na waasi/Magaidi,Nguvu ya kiuchumi ya taifa husika, teknolojia na ubunifu katika jeshi nk. Ni zipi sifa zingine has a zaidi ili kuliita taifa flani lina nguvu za kijeshi kupita mataifa mengine? Wadau wa maswala hata na wanadiplomasia tusaidiane hapa.
 
Subiri Mods waje wataunganisha utaukuta kule kuna mada nyingi za kutosha utazikuta kule! Kama unawez pia search utaupata
 
Back
Top Bottom