Nyerere: "Mgodi" ambao haujaguswa

Nyerere: "Mgodi" ambao haujaguswa

2kimo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,029
Reaction score
2,072
Watanzania bado tuna shida ktk kufikiri!

Hadi sasa watu wengi wanadhani watalii wengi watakujaTanzania kuliko nchi nyingine yeyote kwa kuwa kuna simba na wadudu wengine!

Waziri Maghembe, hebu utazame "mgodi" huu ambao hatujaanza kutumia na wala hatuuwazii kabisa! South Africa, Zanzibar na Egypt zina watalii wengi sana lkn vivutio kikubwa huko sio wanyama au wadudu gani, ni historia! Historia inavutia watu binafsi, taasisi kama vyuo vikuu vya ndani na nje, watu wa filamu na waandishi wa makala!

Mwl. J.K. Nyerere aliingiza nchi yetu ktk historia ndefu sana ya ukombozi kusini mwa Africa! Leo watu wanaenda south kuona just chumba cha gereza alichokaa Mandela! Yet kuna sehemu kama Mazimbu ambapo wapigania Uhuru wa south waliishi for ages wala haipo ktk historia!
Tuanze sasa kulazimisha historia zenye tija ktk uchumi wetu!

Tuwafanye wa-Namibia, Msumbiji, Zimbabwe, South Africa na hata Uganda sehemu za historia zao ziambatane na utalii wetu! Tuyarejeshe maeneo yote muhimu yenye historia za ukombozi chini ya utawala wa makumbusho ya taifa na tuyafanyie sehemu ya historia yetu! Eneo lililokuwa na radio ya FRELIMO ni sehemu ktk historia ya Mozambique, pia tuiweke historia ya Mwl, hata kama itatugharimu kutengeneza movie ya Mwalimu ktk harakati, ni jambo zuri! Huu utalii wa historia uambatanishwe na ule wa wanyama!

Tukikaa tu na mbinu, Nyumbu watu awatoona cha ziada tunahoweza kuoffer so wanatuchukulia poa tu!
Hebu turejee huu mgodi liotuandalia Mwalimu na uufanyie kazi!
 
ningekuwa rais, Ningekuwa na kipindi cha kuzwadia watanzania wenye kuleta mawazo chanya kila atakapojitokeza.
Wazo lako ni zuri, likisimamiwa litaongeza tija ila katika kipindi hiki ambacho Hakuna neno jema litatoka kwa kapuku, wewe umemaliza utumishi wako kazi kwa wahusika. Kula tano
 
Umenena vyema mkuu.

Ni lazima JPM afike mahala achore mstari wa ya kale na mapya. Aanze kutafuta njia mpya za kuujenga uchumi mpya wa nchi yetu kwa kupokea na kuyafanyia kazi mawqzo mapya ya wazelondo. Kuwepo Na forum ya kuzungumza Na wananchi watoe mawazo mapya Na sio yeye tu kuzungumza Na wananchi kumsikiliza.

Yakale si ndwele tugange yajayo.
 
Back
Top Bottom